Je, uliwahi kuachwa na mpenzi wako na akakufanyia kitu ili akukomoe ila leo hii anakutafuta?

Je, uliwahi kuachwa na mpenzi wako na akakufanyia kitu ili akukomoe ila leo hii anakutafuta?

Unaona texts zake za kugegedwa, unamfuma laivu au anakamata mimba ambayo ukipiga mahesabu unaona kabisa kuwa siyo yako kwa sababu mwezi iliyotungwa we hukuwepo!
Hiyo ni too late Mkuu.siku hizi watu wanagegedana kiakili sio kizembe..huezi kuta hata hizo texts,na ikitokea ukute amesha gegedwa mwaka mzima.
 
Ooh! Binti yule mrembo mwema malaika wa siku njema. Aliniacha kwa mbwembwe na dharau sana japo sikumtendea ubaya na nilimheshimu na kumpenda sana nikamtunza yeye pamoja na ndugu zake wengi. Leo hii mimi ndiye nimegeuka na kuwa mfariji wake mkuu. Ila namshukuru sana kwa kunizalia kabinti kazuri kajiniazi ajabu [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Hakuna bingwa wa maisha na umwonaye leo kuwa hana thamani kesho na kesho kutwa ndiye anaweza kugeuka kuwa mwokozi wako. Namshukuru malaika huyu kwa kunikomaza mapema katika haya mambo ya mapenzi. Nawadeizi niko ngangari ajabu na mtu akianza drama zake mi namwangalia tu. Mungu na Amsaidie katika mitihani anayoipitia. Tuogope sana kuumiza watu hasa wanaotupenda na kutujali. [emoji1545][emoji1545]
Usitufokee bwana we!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usitukane mamba kabla ya kuvuka mto

Nmeitoa sehemu.

Kuna gf niliachana naye kwakweli nilikuwa napigana apate anachokihitaji asee siku tumegombana kidogo nikakuta kaweka picha ya mwana mmoja DP et ili niumie kweli kamoyo kaliniuma halafu nikajidai hakuna kilichotokea na ilikuwa nimpe pesa fulani.

Tuliyokuwa tumekubaliana kesho yake akataka ile pesa nikamwambia mm siwezi endeleaa kuhudumia mwanamke wa mtu akasema poa tuachane basi maisha yakaendelea

Nikawa nawaza kwa shida za huyu demu jamaa ataweza kweli? Aisee siku hizi asubuhi nakuta sms asubuhi njema ikifika usiku unashangaa sms usiku mwema moyoni nasema utakula ulichokipanda japo kweli nilikuwa nampenda ila njaa nyingi yule manzi kwa mabaharia wengine hawezi kudumu naye mwezi
Acha ale jeuri yake
 
SHIMBA YA BUYENZE [emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Screenshot_20200812-191926.jpg
 
Hiyo ni too late Mkuu.siku hizi watu wanagegedana kiakili sio kizembe..huezi kuta hata hizo texts,na ikitokea ukute amesha gegedwa mwaka mzima.
Mwanamke akichepuka rahis sana kumstukia hasa ukiwa unaishi nae, Wana kawaida ya kuhamishia 'kila kitu' kule alikopata mtu mwengine. Hata ajifiche vp kuna vingine atashndwa kuvificha ambavyo wew unajua sio kawaida yake, na apo ndo safar ya kuyajua mengine inapoanzia.
 
Nliamua kufanya yangu 2013, nlifumba macho nikageuka wala skurudi nyuma jamaa hadi leo bado ananitafuta alishajua namba zake sipokei, anatumia za watu nkishaskia sauti tu nakata.....simjibu shit ata mara moja nakata tu napotezea mpaka sasa jamaa hajaoaaaaa.....

Ulimloga asipate demu au Sweet16
 
Umenifanya nimkumbuke binti mmoja miaka ya giza huko aliniacha kizembe akidai namdharau na simjali. Sikumjibu chochote. Ikapita miaka kama miwili akantafuta anadai matatizo yangu ni bora kuliko anayokutana nayo huko aliko. Nikamwambia achana na hizo mambo sihitaji kujua chochote kuhisu mahusiano yako kama huna issue ya msingi kata simu. Alianza kunlazimisha turudiane nikamjibu chukulia kama hujawahi kukutana na mtu kama mimi, hakuwahi kunisumbua tena.
 
Back
Top Bottom