Je, uliwahi kuachwa na mpenzi wako na akakufanyia kitu ili akukomoe ila leo hii anakutafuta?

Je, uliwahi kuachwa na mpenzi wako na akakufanyia kitu ili akukomoe ila leo hii anakutafuta?

Aisee kamanda una huruma sana, hongera katika hili. Binafsi mtoto wa kike akiniletea dharau huwa siwezi kumsamehe kabisa zaidi ya kumtangazia msiba na kumchinjia baharini. Huwa wanasema mimi nina roho mbaya, lakini sipendi dharau. Kama unaachana na mimi, wewe nifuate uniambie kama umechoka ili kila mtu achukue mbao zake. Ila ukiniletea vituko, utaishia kuniona mimi mtu katiri.

Miaka hiyo wakati ndiyo naanza kutafuta maisha, kuna mmoja aliwahi kuniletea dharau na vimbwanga. Nilichomfanya yule binti familia nzima walinitafuta, mpaka anaenda kuolewa mimi natupiwa lawama. Juzi nasikia kakutana na mdogo wangu akaanza kumlalamikia mambo niliyomfanyia. There's a red line that nobody crosses.....

Mkuu ulimfanyia ubaya gani huyo binti wa watu mpaka "...yule binti familia nzima walinitafuta, mpaka anaenda kuolewa mimi natupiwa lawama"?

Huyu ni mzazi mwenzangu na kanizalia katoto kamoja maridadi sana. Hivyo siwezi kumuona akiteseka wakati na mimi nipo japo aliyoyafanya hayasameheki hata kidogo. Lazima nionyeshe upendo kwa vitendo hasa kwa kibinti changu. Maisha haya we acha tu..
 
Mkuu ulimfanyia ubaya gani huyo binti wa watu mpaka "...yule binti familia nzima walinitafuta, mpaka anaenda kuolewa mimi natupiwa lawama"?

Huyu ni mzazi mwenzangu na kanizalia katoto kamoja maridadi sana. Hivyo siwezi kumuona akiteseka wakati na mimi nipo japo aliyoyafanya hayasameheki hata kidogo. Lazima nionyeshe upendo kwa vitendo hasa kwa kibinti changu. Maisha haya we acha tu..
Dhambi isiyosameheka ni moja tu!
Ya kumkufuru Roho mtakatifu.
 
Mi nilishasaha!yalivunjika zaman sikumbuki hata yanaungwaje!
 
Nilikwaruzana nae kitu kidogo penzi lilikua la miez miwil tu badae akaanza kuwaweka wanaume wengine status WhatsApp na ujumbe wa mapenzi, nikawa naaanglia status zake alaf si comment chochote status zikawa zinazid zikawa nyingi mnoo had zikawa pale juu zinaonyesha dot kibao (............) lakin na mm nikawa naziangalia makusudi tu alaf sicomnt kumbe lengo lake lilikua ni kunipima mm nampenda kias gan lakin niliona ni kama ananikosea heshima,,, niliachana nae kimyakimya na nikaamua kuweka umakin kwenye maisha yangu Bila ya mahusiano.

Sahiv ananiomba msamaha anasema alikua ananijaribu anione Kama Nina wivu nae mm nikamjibu siwez kuwa na mahusiano na mtu asieweza kunipa heshima hata ya kinafk
Sure mkuu.Ya mwanaume ni HESHIMA tu!!!hata kama hakupendi kwel lakin manzi akizuga kukuheshimu hatatoka kapa kwako.
 
Mimi yf tukipishana kidogo utasikia " tuachane".Atajifanya depressed wee atachukua tu nguo teake ataenda kwao baada ya siku 1 au 2 anarud.ni mke wangu huyo imagine.10 yrs in relationship though 6 years in marriage.Kaanza kuwa mwanaharakati kinoma
NB.
ofcz recently niko choka mbaya 😁😁
 
Dhambi isiyosameheka ni moja tu!
Ya kumkufuru Roho mtakatifu.
Hiyo ni kwa Mungu. Na mimi siyo Mungu!

Kwangu mimi nifanyie utopolo wa kila aina lakini siku ukienda kugegedwa huko nje sitakaa nikusamehe kamwe hata ufanyeje; na sitakaa nikuguse tena kwa sababu umekuwa najisi!
 
Back
Top Bottom