DOKEZO Je, uliwahi kufika bar ya Lubumbashi (kuzimu ya Dar), Mbezi Mwisho?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Acheni watu wale maisha.
Kesheni kwenye nyumba za ibada tuacheni tule bata
 
"Uchi live" . Zamani watu walitembea uchi haikuwa shida, dhana ya kutukuza uchi ililetwa na wazungu na warabu. Bahati nzuri wazungu waliotukuza uchi ndio hao hao wanafanya kiwe kitu cha kawaida.
Zamani 90 kurudi nyumba watu walivaa magauni, siku hizi wanavaa vibana nwili na neti wala watu hawashangai. Uchi nao hautashangawa ni mindset tuning.
Usiogope dunia inarudi zamani.
Dunia inahama kutoka sheria za kimaadili za kundi na kuwa binafsi. Hao unaowaona wana maadili mioyo yao imeoza sana, na mambo yao huyafanya gizani.
NIige mimi mkuu. Najali fikra zangu zinataka nini sio jamii inataka nini, ukoo unataka nini. Kila mtu kaha duniani kivyake na atakufa kivyake, kwa hio hakuna haja kuumia na watu wasiokuletea madhara.
Mtu atakae ingilia uhuru wako huyo nyooka nae.
 
Hahaha gomz sehem gan mkuu?

Sent from my itel A661W using JamiiForums mobile app
 
Driving force ya hiyo biashara ni nyege. Nyege haziwezi kuisha as long as kizazi cha binadam kipo hai kinapumua...wanadamu wakishiba vizuri tu kinachofuata ni kutafuta njia ya kupunguza nyege.

Vijana wakienda kubisha hodi waoe..wanatajiwa mahari shilingi milioni 3.... Wakati akizama kwenye hayo machimbo anamaliza haja zake kwa sh 2000-10000 tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawee kila J5 uko hapo kutazama hayo, wanafiki sana nyie watu lol
 
Inaitwa Mikumi pack nliwahi taka kuchukua room ile naingia nikakutana na harufu kali inanuka mavi ilibidi niulize kulikoni mhudumu akaniambia Malaya wakishalewa hua wafirwa mpaka wanakunya nligairi nikaondoka na mrembo wangu..hapafai usiku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu miee, uwiiiiih.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…