Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

Je uliwahi kufumaniwa na mke wako hata meseji(za mapenzi) kwenye simu Yako?

Nawewe unao wapandwa vichwani pia ni wanaume vilaza wewe kama unalipiza lipiza tu ila kumtegemea msamaha sahau hiyo

Labda kama ukinipa option 2 niuawe au nikiri kosa ndo naweza kujifikria kuomba msamaha hivihivi siwezi
Mpaka unafumwa sms unanuniwa wewe ni kilaza na sijawahi kuwa na kilaza aina yako
 
Mpaka unafumwa sms unanuniwa wewe ni kilaza na sijawahi kuwa na kilaza aina yako
Simu ya kwangu Yanini utafte visivyo kuhusu? Haya umevipata halafu utegemee nikuombe msamaha thubutu!!

Niache na Ukilaza wangu sikupingi Wala siwezi kujibana kwenye simu yangu.😂😂

Ni sawa na kunipa matumizi ya Hela yangu niliyosota nayo mwezi mzima

Nitakushangaa tu
 
Sawasawa kilaza
 
Kuna mwanamke alimfuma mmewe guest na mchepuko kosa alilofanya mwanamke akawaacha akarudi home, mumewe alivyorudi nyumbani alikana kabisa kua sio yeye mkewe kamfananisha vikao viliwekwa mwamba kasimamia msimamo sio yeye mkewe kamfananisha, mwanamke akaondoka baada ya miezi akarudi na maisha yakaendelea.
 
Wanawake wengi hawana pakwenda 😄 Tena ukute Hana kipato chochote ataondoka ataenda wapi? Ataenda kula Nini? Kwahiyo itabidi arudi 2 asubirie chochote hapo. Ukikuta anae jiweza kiuchumi ndio byebye
 
Anyway inawezekana unaona maisha yameendelea bila shida,but trust me kuna kauaminifu kwako kamepungua,ila ameamua tu msonge mbele inawezekana mmetoka mbali........siyo jambo jema sana jambo kama hilo,hasa mkeo kutukanwa na mchepuko wako....... wanaume hata kama unanyumba ndogo hakikisha mkeo haguswi kwa namna yoyote,unapanda mbegu mbaya sana,japo huwa tunawaona wanawake wajinga ila tunawakosea sana
 
Mwanamke yupi huyo 😏😏😏
Ningempigia dada yako huyo Wizzo naongea nae very friend " Umeamua kumcover kaka ako na ushetani wake well Mimi mjinga, visasi vyetu unavijua."
Dada yako Kuna neno atakupa tru
Na akikuambia wifi Mimi nimeambiwa utaenda na Dada huyu Dar mkachukue mzigo. Hayo mengine mi siyajui wifi 😂😂 kizazi Cha nyoka ujue
 
Back
Top Bottom