Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Muhaya At Work.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaaa...Mimi hapa mwenzio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nlikuwa mdogo kuliko wote,na mpole kuliko wote, ilanlikuwa mtundu kuliko wote and nlikuwa natoroka, nikichukia nlikuwa napigana hadi na std 7 akat niko la 3, mbaya zaidi kila kitu kwangu ilikuwa silaha, nishawahi kupigana nikamchoma mtu na bic ikaingia hadi kwenye kitundu, nishawahi kumchanachana viwembe mtu mwili mzima, nishawahi kumchoma visu mtu machungani, nishawahi kupigana na darasa zimatwo times, nikiwala2 nlikimbia kuimba mathematical table nlipangiwa ya saba na sikuwa naijua, mwalimu wa hesabu alikuwa headmistress alikuwa na mimba na mimba ilinichukia mm, so alikuwaananipigasana,basini katoroka akaagiza wanafunzi wanifate hom,mi nikawatoa balu na panga na mshale wa mzee. Ingine nlikuwa form five nlipiganana form three na nlipiga na chuma kilichokuwa kimechomewa msumari kwa mbele, mi nlikuwa napiga kichwani kila anayekaribia kwangu, mpaka nawadhibiti watu zaidi ya 10 walikuwa down wakivuja dam nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaarufu nilipata nilipoingia la pili na kubaka mwalimu nikafukuzwa shule hadi wa leo hio shule kila anaenda anahadithiwa historia yangu. Japo nilikuwa mdogo najiuliza ningekuwa kama leo je?

Au ningefika la tatu hadi saba walimu wote si wangenikoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Primary nilikua naitwa Osama nilikua natembeza mkono balaa na enzi hizo 2003 osama ndio alikua amevuma sanaaaa,
Secondary nilikua naitwa Gadaffi nilikua naonekana mapunziko tu zangu ni msituni tu darasani siingii,, nyumbani sirudi mpaka watoke wenzangu ndio naliunga...
Kipindi hicho gadaffi alikua on [emoji91]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwifwa AKA MSULI
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Reactions: BAK
Nlikua ntoroka scul o'level njian nkakutana na sista du akaniomba kitabu nlichokua nmeshka, nlipompa akasoma jina langu(nliliandika on frst page ya kitabu), then akanmbia mm ni mwl wa field twende shule!..aah nkala chochoro but nlipofka mbele nkakutana na majamaa mawil( yalikua yanaogopeka sana shule kutokana na tabia zao afu yalikua magiant, watu wa ndumu hatar) nkawambia kuna demu kanchukulia kitabu nawapa jero wakampore (alkua ajafka mbali), bwana walimpa mitama hatar,wakchukua kitabu...kimbembe kilikua jtatu, tupo assemble nkaitwa mbele kuwa nimempiga mwalmu nitaje na wenzangu, na kumbuka wale majaa co watu wa mchezo bas nkaogopa kuwataja aisee nlichezea stick pale assemble kutoka kwa kila mwlmu nusu nizimie! mpka nkawa nkuja scul na mto wa kukalia maana dawati lilikua linaniumiza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaarufu wangu haujapotea bado.

Nikiwa P/R nilikua mtoto wa mzee mmoja maarufu sana pale tarafani so nikawa maarufu automatically.

Nikiwa O level physics ilinipa umaarufu mkubwa kupita maelezo.. Mpira wa miguu ukanifanya niwe king wa shule nakumbuka nimeanza kukipiga kwenye timu ya shule Mara baada tu ya sherehe ya welcome form one, siku ya sherehe tulicheza na staff nikatia goli 4 peke yangu.

Mpira ulinipa marafiki na mademu sana, ilifikia hatua nikagombanisha madam na mwanafunzi kisa penzi la Mimi superstar.

A level umaarufu ulikua ila sio saana. Hasa ukizingatia shule unakutana na mijitu toka Maswa, Bariadi, Ubaruku na Kigoma imetumwa kukamua tu.

Chuo umaarufu ulirudi kwa kasi sana ila ganja ziliniponza

Huku niliko bado maarufu kwani nikionekana kwa baadhi ya watu lazima wakaze matakhooo na kudondoka ulutiiii wa maana.. Usipoanguka wa kinaa mbele yangu lazima niku-compromise na utalinda tu main gate.

Ila umaarufu bila Mungu ni Bure

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah,Vingi sana,shule ya msingi baada ya kuchoka kuwapigia wenzangu makofi na kuona kila jitihada zinaenda Kombo,Luna siku ilitungwa paper ngumu hatari,yani hadi wale waliokuwa vipanga walisanda,ajabu sasa Mimi ndie nikawa wakwanza aisee.

Ila wa kwanza kwa kujisahihishia na kjjiongezea mimaksi kibao,so walimu walipokuja kushtuka mie huyo ndio naongoza,kuja kukagua mitihani yangu wakanibamba nimejisahihishia.

Dah,nilichezea bakora sitasahau plus kuamishiwa darasa la vilaza kabisa yani.

Kilichonipa umaarufu zaidi,nilipofika huko Mimi ndio nikawa mwalimu wa hao vilaza,maana wana walikuwa kama wametengwa kabisa,so mie nikawa nawapigisha pindi ,kuanzia hesabu hadi maarifa ya jamii,so sifa zangu zikasambaa shule nzima hadi mwalim mkuu akanipongeza kwa kuwapush wenzangu ambao walikuwa wesuswa.jambo hill pia lilisaidia kufunika ile aibu ya kujisahihishia ,

Nachoshukuru na kufurahi hadi Leo,niliwasaidia sana wale vilaza,maana walikuwa hawaelewi walimu ,so maticha muda mwingine wakiwa wanataka kuja class wakinikuta nawafundisha wanasimamia tu jinsi navyowafundisha,na wengi walifaulu darasa la saba.
 
Sekondari,umaarufu wangu ulitokana na sauti,yes sauti huwa ninasauti flani hivi ya jk ,so wakati nilipofika tu mashule mini ,kujitambulisha mbele ya darasa watu wrote wakawa wanacheza tu ,kingine busara na tunu ya uongozi,kupitia sauti hii niliwashika watu wengi kinoma noma,ikawa kila nilipkuwepo nao wapo,ikapeleka had I kushinda HB wa shule nikiwa Dogo kabisa yani form two,so mabrothermen was form four wote wakawa chini ya himaya yangu,madem wa shule kila class wakawa wanleta shobo,yani nikawa Michael Jackson was shule,kila nikiingia class flank napokelewa kwa shangwe hadi mwalkmu mkuu akawa anaona wivu yani.ikafika hatua asembly watu hawaridhiki bila kusikia naongea ,hata kama nikiongea pumba wao roho kwatu kabisa.

Nakumbuka kuna siku,tulikuwa school baraza so ikawa kila mwalimu wantoa nasaha nini,ikafika zamu ya sie viongozi kutoa nasaha,akaanza makamu wangu watu wakam'boo,dah ikafika zamu yangj sasa dahh,ilipigwa shangwe hadi walimu wakata kujua Nina uspesho gani kwa wanafunzi,maan hadi mwalimu mkuu kaongea hakupigiwa shangwe ,watu walimpuuza tu,.

Kingine,umaarufu wangu ulichangiwa na kuwa fair na kila mtu, awe mkubww hadi mdogo,nilikuwa HB Mwenye hulka za za kila mtu ajali time zake,sikuwa mnoko mnoko ,michezo ilikuwa sehemu ya ratiba ya lazima hasa ligi za madarasa nakadhalika so wanopedna michezo hasa mpira,madance wahuni wote kwangu walikuwa wana,

Pia nilikuwa sibagui dini,ijumaa naeza kwenda kwenye darasa la waislamu nikaswali nao freshi,nilikuwa ningia Ukwat,tycc,na kwa walokole.
 
Chuo,umaridadi na kupendeza viliwashika kihoro kuanzia madem hadi malecture wote wa K,nilikuwa kila day naombwa Picha za selfie na madem wa class tofauti fofauti,plus kismati cha kupendwa ,jk vocal,handsome face vilichangia wakanipa urais was chuo,

Maana nakumbuka,siku wanapendekeza majina sikuwepo so wana wakapendekeza jinalangu,nikaja kuoewa taarifa jina lishapita ngazi zote so kilichobaki ni kampeni,kama kawaida kila class nayoingia vibe kama loteee yani,waliokuwa wanagombea nami ikabidi wajitoe kuepuka aibu ya kuahindwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…