Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Chuo,umaridadi na kupendeza viliwashika kihoro kuanzia madem hadi malecture wote wa K,nilikuwa kila day naombwa Picha za selfie na madem wa class tofauti fofauti,plus kismati cha kupendwa ,jk vocal,handsome face vilichangia wakanipa urais was chuo,

Maana nakumbuka,siku wanapendekeza majina sikuwepo so wana wakapendekeza jinalangu,nikaja kuoewa taarifa jina lishapita ngazi zote so kilichobaki ni kampeni,kama kawaida kila class nayoingia vibe kama loteee yani,waliokuwa wanagombea nami ikabidi wajitoe kuepuka aibu ya kuashindwa
 
Now kazini na uraiani ni maarufu coz nasaidia sana ,then naheshimu kila mtu japo sina shobo na mtu, yes sina shobo paka mwizi,yani mkausho kama.wrote ila ukiwa katlribu yangu hutajuta jinsi nitavyokuhandle,unaweza ukajikuta tunatembea wotw njiani au safarini nikalulipia kila kitu,kuanzia naulo hadi maji ya kunywa nikakunulia,huwa sipendagi kuonekana dhaifu aisee
 
Kikosi namba ngapi chief?
 
hahahaha..! nilikuwa mpiga kelele maarufu, kila mkiitwa hata kama nililala utasikia teacher "panya mabaka, njoo hapa, lala chini" yani nakula za maana alaf wengine wanaachwa! dah, shule hizi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatarii sanaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii reply nimeipenda ulitumika kuimarisha wengine safi sana
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Duuhhh...mkuuu darasa la pili umebaka mwalimu!!?au la pili la mkoloni!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii reply nimeipenda ulitumika kuimarisha wengine safi sana

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Sure aisee,maana wana walikuwa wametengwa kabisa then walikuwa boys tupu coz tuligawanywa,Class A waliwekwa mademu vipanga,Class B wakawekwa boys VIpanga,C wakawekwa madem vilaza,D wakawekwa boys vilaza ,so Mimi nikatupwa humo D
 
primary: domo zege
O level:mademu-phobia
A level:Mijau,masela walikuwa wanasema siwezi ongea na demu
Chuo:wanashangaa napendea nini JF


''SHE SAYS PLAY KHALID,I SAY PASS THE WEED''
 
Kwa uandishi huu ndio ulikufanya ukawa bingwa wa kiswahili???

Bila shaka ulikuwa unawaongoza vilaza.
 
Write your reply...Yeah nilikuwa maarufu sana miaka ya 2003-2009 nikawa tena kuanzia 2010-2013 nikawa tena 2014-2016 nilikuwa SAMA, umaarufu ulikuja sababu baba yangu ndo mwenye hile shule.
 
Mama Lopa, nimefanya naye ofisi moja akiwa REO!
 
Mtu wa miyayusho na mzinguaji,fujo hata walimu walisema sitaweza chaguliwa na kweli hivyo

mpuuzi mpuuzi tu
 
**** it everybody was bright in school! No one was dumb as me?

I was the dumb one,yaani niponipo tu tangu primary mpaka sekendari..
Nlikuwa napenda sana mihogo..Mungu ameweke pema Babu na Bibi Chodo..na Mama Maandazi..they made my life awesome !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…