Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Chuo,umaridadi na kupendeza viliwashika kihoro kuanzia madem hadi malecture wote wa K,nilikuwa kila day naombwa Picha za selfie na madem wa class tofauti fofauti,plus kismati cha kupendwa ,jk vocal,handsome face vilichangia wakanipa urais was chuo,

Maana nakumbuka,siku wanapendekeza majina sikuwepo so wana wakapendekeza jinalangu,nikaja kuoewa taarifa jina lishapita ngazi zote so kilichobaki ni kampeni,kama kawaida kila class nayoingia vibe kama loteee yani,waliokuwa wanagombea nami ikabidi wajitoe kuepuka aibu ya kuashindwa
 
Now kazini na uraiani ni maarufu coz nasaidia sana ,then naheshimu kila mtu japo sina shobo na mtu, yes sina shobo paka mwizi,yani mkausho kama.wrote ila ukiwa katlribu yangu hutajuta jinsi nitavyokuhandle,unaweza ukajikuta tunatembea wotw njiani au safarini nikalulipia kila kitu,kuanzia naulo hadi maji ya kunywa nikakunulia,huwa sipendagi kuonekana dhaifu aisee
 
Umaarufu wangu haujapotea bado.

Nikiwa P/R nilikua mtoto wa mzee mmoja maarufu sana pale tarafani so nikawa maarufu automatically.

Nikiwa O level physics ilinipa umaarufu mkubwa kupita maelezo.. Mpira wa miguu ukanifanya niwe king wa shule nakumbuka nimeanza kukipiga kwenye timu ya shule Mara baada tu ya sherehe ya welcome form one, siku ya sherehe tulicheza na staff nikatia goli 4 peke yangu.

Mpira ulinipa marafiki na mademu sana, ilifikia hatua nikagombanisha madam na mwanafunzi kisa penzi la Mimi superstar.

A level umaarufu ulikua ila sio saana. Hasa ukizingatia shule unakutana na mijitu toka Maswa, Bariadi, Ubaruku na Kigoma imetumwa kukamua tu.

Chuo umaarufu ulirudi kwa kasi sana ila ganja ziliniponza

Huku niliko bado maarufu kwani nikionekana kwa baadhi ya watu lazima wakaze matakhooo na kudondoka ulutiiii wa maana.. Usipoanguka wa kinaa mbele yangu lazima niku-compromise na utalinda tu main gate.

Ila umaarufu bila Mungu ni Bure

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikosi namba ngapi chief?
 
hahahaha..! nilikuwa mpiga kelele maarufu, kila mkiitwa hata kama nililala utasikia teacher "panya mabaka, njoo hapa, lala chini" yani nakula za maana alaf wengine wanaachwa! dah, shule hizi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatarii sanaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii reply nimeipenda ulitumika kuimarisha wengine safi sana
Dah,Vingi sana,shule ya msingi baada ya kuchoka kuwapigia wenzangu makofi na kuona kila jitihada zinaenda Kombo,Luna siku ilitungwa paper ngumu hatari,yani hadi wale waliokuwa vipanga walisanda,ajabu sasa Mimi ndie nikawa wakwanza aisee.

Ila wa kwanza kwa kujisahihishia na kjjiongezea mimaksi kibao,so walimu walipokuja kushtuka mie huyo ndio naongoza,kuja kukagua mitihani yangu wakanibamba nimejisahihishia.

Dah,nilichezea bakora sitasahau plus kuamishiwa darasa la vilaza kabisa yani.

Kilichonipa umaarufu zaidi,nilipofika huko Mimi ndio nikawa mwalimu wa hao vilaza,maana wana walikuwa kama wametengwa kabisa,so mie nikawa nawapigisha pindi ,kuanzia hesabu hadi maarifa ya jamii,so sifa zangu zikasambaa shule nzima hadi mwalim mkuu akanipongeza kwa kuwapush wenzangu ambao walikuwa wesuswa.jambo hill pia lilisaidia kufunika ile aibu ya kujisahihishia ,

Nachoshukuru na kufurahi hadi Leo,niliwasaidia sana wale vilaza,maana walikuwa hawaelewi walimu ,so maticha muda mwingine wakiwa wanataka kuja class wakinikuta nawafundisha wanasimamia tu jinsi navyowafundisha,na wengi walifaulu darasa la saba.

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Umaarufu nilipata nilipoingia la pili na kubaka mwalimu nikafukuzwa shule hadi wa leo hio shule kila anaenda anahadithiwa historia yangu. Japo nilikuwa mdogo najiuliza ningekuwa kama leo je?

Au ningefika la tatu hadi saba walimu wote si wangenikoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Duuhhh...mkuuu darasa la pili umebaka mwalimu!!?au la pili la mkoloni!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii reply nimeipenda ulitumika kuimarisha wengine safi sana

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Sure aisee,maana wana walikuwa wametengwa kabisa then walikuwa boys tupu coz tuligawanywa,Class A waliwekwa mademu vipanga,Class B wakawekwa boys VIpanga,C wakawekwa madem vilaza,D wakawekwa boys vilaza ,so Mimi nikatupwa humo D
 
primary: domo zege
O level:mademu-phobia
A level:Mijau,masela walikuwa wanasema siwezi ongea na demu
Chuo:wanashangaa napendea nini JF


''SHE SAYS PLAY KHALID,I SAY PASS THE WEED''
 
Nilikuwa mkali wa Kiswahili balaa, ikatokea kupendwa na walimu woteeee, kuna wengine wakawaga wananipa mitihani nasahihisha, na kingine nilikuwa kadogo kadogo halafu kazuriiiiiiii na kasafi hhahaha aiseee ukubwani taabu sana stress zimefanya kasura kangu kapotee ovyo ovyo tu mfyuuuuu
Kwa uandishi huu ndio ulikufanya ukawa bingwa wa kiswahili???

Bila shaka ulikuwa unawaongoza vilaza.
 
Write your reply...Yeah nilikuwa maarufu sana miaka ya 2003-2009 nikawa tena kuanzia 2010-2013 nikawa tena 2014-2016 nilikuwa SAMA, umaarufu ulikuja sababu baba yangu ndo mwenye hile shule.
 
Kwa kweli umaaarufu wangu ulikua ni kucheka kwa kelele yani nikicheka darasani lazima niitwe nipate kiboko. Kama ni usiku mabwenini watu wanahamaki. mmh lile cheko sijui limepotelea wapi sijui ndo kukua. Kwa waliosoma na mm olevel A level mpk chuo wanaweza waka guess who am I. Kwa sasa naomba wanangu wasinirithi maana ilikua balaa. Wale watoto wa mama Lopa loleza tujuane
Mama Lopa, nimefanya naye ofisi moja akiwa REO!
 
Mtu wa miyayusho na mzinguaji,fujo hata walimu walisema sitaweza chaguliwa na kweli hivyo

mpuuzi mpuuzi tu
 
Back
Top Bottom