Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Kila comment,kila mmoja "I was very bright"...mara "Nilikua nawakimbiza darasani"...etc

Jeez,old people are lying like its nothing!

Pitia thread uone,ukisema hujaona utakua mchawi aisee!
Nimeona, kwani mkuu na wewe hujaona jamaa aliyekuwa mpiga kelele, hujaona huyo dada aliyesema kuwa alifeli vibaya mno o level hadi akachanganyikiwa? kama hujaona basi utakuwa mchawi, mkuu.
 
Ntakuibukia inbobo muda c mrefu! Napenda sana ngozi nyeupe!
 
Secondary School...
Sababu:some thought i was kind of cute...
 
Nimeona, kwani mkuu na wewe hujaona jamaa aliyekuwa mpiga kelele, hujaona huyo dada aliyesema kuwa alifeli vibaya mno o level hadi akachanganyikiwa? kama hujaona basi utakuwa mchawi, mkuu.

Overwhelming majority inadai walikua wanaonea masomo sana....

Sijui huu uongo utatufikisha wapi?

I don't get it!
 
Mchelewaji sugu Mimi, kutoroka Mimi,
Kubwa zaidi ilionifanya nikapigwa suspension miezi 3 .nilimsukumiza ticha wa academic kibarazani mpaka chini huko kilichofuata??...
 
Secondary; ni vingi tu vilivyofanya nijulikane shule nzima hata shule jirani lakini kubwa ilikuwa mwandiko mzuri shule nzima....ilifikia hatua watoto wa kishua wananiletea barua za kwenda kwa maboyfriend wao niwachongee mwandiko( ila kwa sasa navyoandika bata ana nafuu)

Kingine ni muonekano ukibebwa na guu kweli, shule ilikuwa ni day ...muda wa kutoka shule baadhi ya watu waume kwa wake walikuwa wakitoka nje kuniona tu ( ule uzuri uliisha baada ya mahudhurio ya leba)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Overwhelming majority inadai walikua wanaonea masomo sana....

Sijui huu uongo utatufikisha wapi?

I don't get it!

Kuna kitabu nilisoma, sikumbuki jina ila kuna msitari wa "Winners Write History".

Akafafanunua kwamba what is written about the past is probably not what aspired, only what the writers thought we will appreciate how brave they were.

In that sense, the reality unaipata kwa wale ambao write-ups zao ziko rejected au banned.
 

Naona unajihami tusije PM, eti uliisha.
 
Mi unavyoandika tu nachora picha kuchwani ya hilo guu mmm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…