Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Secondary; ni vingi tu vilivyofanya nijulikane shule nzima hata shule jirani lakini kubwa ilikuwa mwandiko mzuri shule nzima....ilifikia hatua watoto wa kishua wananiletea barua za kwenda kwa maboyfriend wao niwachongee mwandiko( ila kwa sasa navyoandika bata ana nafuu)

Kingine ni muonekano ukibebwa na guu kweli, shule ilikuwa ni day ...muda wa kutoka shule baadhi ya watu waume kwa wake walikuwa wakitoka nje kuniona tu ( ule uzuri uliisha baada ya mahudhurio ya leba)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera kwa leba!.ila du si mchezo hadi wenzio kuleta barua zao uwaandikie.ubuyu wote ulikiwa nao kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi rekodi yangu hadi leo c Shule TU nadhani hata Tz na dunia kwa ujumla haijavunjwa
kwanza KABISA

plak yangu ya kwanza kufanya ilikuwa siku ya mtihan wa taifa
Hapo ndo nikajua
ma tritation,ma qualitative,ma elastic,ma equilibrium ma fudi test etc
hata Sijui nilifanyaje fanyaje matokeo yakaja nikiwa na A flat PCB

ilikuwa kumaliza mwaka MZIMA bila kwenda Shule ilikuwa c ajabu.yaani mpaka wanafunzi wakawa wanadhani me mgeni kila nikienda

Uhuni na Utukutu,Hapo sisemi nisije onekana najipaisha

UONGO hahahahhah hiyo Hadi leo hii HAKUNA aliyevunjaga

Usalama wa Taifa fake
hahaha hapo nilikuwa naendaga Hadi ofisini kwa Mwl mkuu napiga chai fulesh bila shida

Niliwahi hitishaga maandamano hiyo primary
uli kiki Sana Hadi vyombo vya nje viliuripoti

O Level niliwekaga mgomo
Hahahahah Afisa elimu aliomba poo

Ni mengi
Chuo Nikisema watanijua humu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole kwa kupoteza washindani mkuu.

Mimi nimepindua meza kuanzia std 5 baada ya shuleni kuhamia mchuchu nikawa nimejikabidhi, kwa hiyo nikaanza kusoma ili niwe namfundisha mimi tu. Nikashangaa kumbe vitu ni virahisi.

Ikawa kila kitu naulizwa mimi, mpaka darasani wanashangaa huyu kilaza ndo kawa mkali hivi.

Nakumbuka kata yetu ilikuwa na shule 5 mock ya kwanza nikawafunika, yule mtoto ananikumbatia mpaka nikaona aibu. Jina likabandikwa shule zote wale top 10.
Mapenzi ya utotoni yana ladha ambayo huwezi ipata tena hata iweje.
 
Mapenzi ya utotoni yana ladha ambayo huwezi ipata tena hata iweje.

Kabisa, yaani unakuwa unaona kama dunia ni yenu tu. Halafu home kwao na kwetu tulikuwa tunajulikana, akipewa kitu anapewa na changu, mimi pia naambiwa mpelekee na fulani.
 
Mimi rekodi yangu hadi leo c Shule TU nadhani hata Tz na dunia kwa ujumla haijavunjwa
kwanza KABISA

plak yangu ya kwanza kufanya ilikuwa siku ya mtihan wa taifa
Hapo ndo nikajua
ma tritation,ma qualitative,ma elastic,ma equilibrium ma fudi test etc
hata Sijui nilifanyaje fanyaje matokeo yakaja nikiwa na A flat PCB

ilikuwa kumaliza mwaka MZIMA bila kwenda Shule ilikuwa c ajabu.yaani mpaka wanafunzi wakawa wanadhani me mgeni kila nikienda

Uhuni na Utukutu,Hapo sisemi nisije onekana najipaisha

UONGO hahahahhah hiyo Hadi leo hii HAKUNA aliyevunjaga

Usalama wa Taifa fake
hahaha hapo nilikuwa naendaga Hadi ofisini kwa Mwl mkuu napiga chai fulesh bila shida

Niliwahi hitishaga maandamano hiyo primary
uli kiki Sana Hadi vyombo vya nje viliuripoti

O Level niliwekaga mgomo
Hahahahah Afisa elimu aliomba poo

Ni mengi
Chuo Nikisema watanijua humu


Sent using Jamii Forums mobile app

Uongo ulishaacha?

Maana isije hapa pia ikawa ni uongo.
 
Humu kila mtu alikua namba moja (john kisomo)?
Ina mana wale tuliokuwa tunakamata mkia kama mimi humu hawamo?

Kila mtu kaenda chuo?wa la saba na form four hapa hawapo ehee??

Wale wa di nne za kuunga unga hawapo???

Wale wa ziro kama mimi hawapo???

Wale wa veta na setifiketi hawapo????

Duuuh!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu wewe ni jasiri kupata ziro si kitu cha mchezo
 
Kwa kweli umaaarufu wangu ulikua ni kucheka kwa kelele yani nikicheka darasani lazima niitwe nipate kiboko. Kama ni usiku mabwenini watu wanahamaki. mmh lile cheko sijui limepotelea wapi sijui ndo kukua. Kwa waliosoma na mm olevel A level mpk chuo wanaweza waka guess who am I. Kwa sasa naomba wanangu wasinirithi maana ilikua balaa. Wale watoto wa mama Lopa loleza tujuane
 
Haahahahaha ndio nn kunichekesha hivyo,nlikuwa nasoma na kaka zangu wangekupa kipigo balaa, maana hata ukinisimamisha tu wakikuona basi kazi unayo
Kwa watoto wa geti kali, tulikuwa tunawagonga kwa bao la mkono. Akifanikiwa kukupa chupi yake na sidira kwisha kazi
 
Primary namba moja, sekondari kuongoza history na physics, chuo nilikuwa na mkwanja mwingi sana, pasi ndefu kwangu ilikuwa no!, nilijulikana kama 'zimba'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Umenikumbusha primary kulikuwa na kitabu cha kiswahili chenye story ya mwanafunzi mchafu aliyeitwa cholo. Sasa kuna jamaa mmoja classmate siku yanukaguzi wa usafi alikuwa mchafu balaa. mwalimu akamwita mbele kisha akampa jina la cholo. Hadi leo tumamwitaga cholo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
KITU kilichonipa umaarufu O-LEVEL nilipendwa na mtoto mkali kuliko wote shule nzima (baba yake alikua mhindi mama yake muarabu), walimu, mabishoo, ma genius wa shule wote walimuimbisha dogo lakini dogo aligoma akawa ananielewa mimi tu,, (Pitia ID yangu kuna uzi nimesimulia kisa hiki unaitwa "KOSA LANGU")

Kilichonipa umaarufu baada ya kupendwa na uyu mtoto mkali, ni kwamba nilikua domo zege, dogo alijilengesha lakini wapi mzee sina habari, jamaa yangu alikua anakula rafiki yake, wote wanajadili pamoja na demu mwenyewe jinsi gani niwe na mtoto lakini wapi, mzee sina habari kichwani mwangu nilikua naiwaza man u, mpira na kutumikia altare kupiga chetezo.. .

Sasa siku moja katika harakati za hapa na pale skuli natembea mara paah mtoto uyu hapa anakuja mbele yangu, mimi ni nani bwana mpaka nikutane nae, mzee uyo nikakunja njia kwenda ofisi ya waalimu ile kuingia tu ndani nikakuta kupo kimyaa kumbe kulikua na kikao, ticha mmoja akaniuliza eenh vipi? mi lile wenge nikasema mwalimu ABC kanituma chaki kumbe lile wenge yule ticha alikuepo mle ofisini sikumuona akasema we dogo mi si nipo hapa.

Basi ticha alokua anafukuzia yule dg na anajua mi ndio kikwazo akadakia show wazee fimbo nilizochezea pale kama ingekua ni mtaji basi leo hii ningekua milionea, nilivopigwa nikajua kesi imeisha kumbe wapi bwana kesho yake parade yule ticha akaja kaniita kama wewe ni kijana upo kidato cha nne na kuna demu unamuogopa yupo kidato cha kwanza njoo hapa mbele utoe morning speech, mzee nikakaza wapi ticha kanifuata kanishika mkono mpaka pale mbele akani dis kinoma afu akanipachika jina la Domo gundi, mwisho akanipa adhabu ya kutoa morning speech wiki nzima, na viranja walivokua wananiita Welcome domo gundi ilifanya niwe maarufu sana shule nzima

Ilikua mwaka 2010 au 11 kitu kama hicho, Leo hii uyo dada ni best yangu sana sema kila tuki chat ananitania sana, mwisho wa siku tumebaki kua marafiki wakubwa na mimi niliishia kua mpenzi mtazamaji lakini maarufu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dahh ww bado kijana mdogo aise. Hivi kumbe nimekula chumvi ee mwaka 2011 nimeshamaliza chuo.
 
Nlikuwa na redio peke yangu, vijana wooote wanakuja jion kuskiliza kwangu...
 
Back
Top Bottom