Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

Je, uliwahi kuwa maarufu shuleni?

UKOROFI..... nilikuwa napasua sana darasani lakini kwenye matukio ya hatari yote lazima unikute.... tukicheza mechi na skuli nyingine wakitufunga lazima nilianzishe na siku moja nilicheza rafu moja hatari sana nikamvunja jamaa mguu......

yaani huwa nakumbuka nacheka sana na kujiona nilikuwa mjinga//////
 
Mkuu darasa sio kipimo sahihi cha umri kuna wengine wanachelewa kuanza shule kwa sababu kadhaa kuna wengine pia wanawahi kuanza,, ila kama 2011 ulikua umemaliza chuo unaweza ukawa kikongwe sasa hivi [emoji23] ingawa kuwahi kumaliza hai guarantee kua umri wako ni mkubwa kuliko waliopo masomoni bado
Dahh ww bado kijana mdogo aise. Hivi kumbe nimekula chumvi ee mwaka 2011 nimeshamaliza chuo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umaarufu niliupata Wakati nasoma O level nilikuwa mtoro mno..Nakumbuka kuna kipindi nilisimamishwa nisije shule mwezi mmoja nilivyo mjinga nikajiongezea na mwezi mmoja zaidi..Nilivyorudi shule walimu wakabaki wananiangalia tu hawana cha kunifanya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endapo ndiyo. Ni kitu gani kilikupa umaarufu?
mimi nilisoma shule ya kata o level enzi za 2008 hadi 11 , halafu nilikuwa na english moja deep sana kwa watoto toka primary government halafu olevel shule ya kata, matokeo yake nikawa debate za shule, morning speech na mambo ya kuonekana yenye kuhusisha lugha ya shule nikawa sikoseoani, walimu wa kiingereza walihakikisha nakuwemo, hivyo nikawa na jina la kihivyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu darasa sio kipimo sahihi cha umri kuna wengine wanachelewa kuanza shule kwa sababu kadhaa kuna wengine pia wanawahi kuanza,, ila kama 2011 ulikua umemaliza chuo unaweza ukawa kikongwe sasa hivi [emoji23] ingawa kuwahi kumaliza hai guarantee kua umri wako ni mkubwa kuliko waliopo masomoni bado

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena. Ila sijawa kikongwe ndo nazidi kuchanua
 
Actually siwezi sema maarufu sana ili nisipokuwepo watu wanajua sipo.Primary nilikua very smart na naongoza lakwanza hadi la tano.Kuendelea hapo mambo yakawa meng mda mchache.Pili nilikua naletwa na gari na kuja kuchukuliwa kila siku enzi hizo mzee anamiliki pijoti na suzuki.Nilikua ka handsome flani hivi videm vinanikubali laana.kuna mtoto mkali sana enzi hizo wa kikenya ananizimia balaa na yeye kwao wako vizuri sana kifedha.Cha kushangaza sijui kutongoza na nawaogopa wanawake vibaya mno.Nikawa maarufu zaidi kwa skendo ya udomo zege.

Olevel hapo ndio nilivurugika zaid.mzee kafilisika na nimeshazoea pesa.Hapo ndio nilikua maarufu sana sana kwa uvaaji wangu na manukato.Pili kipanga wa madem balaa.Kwa utoro ndo usiseme kwa week naingia darasani mara 2 ama 3 na sikai mpaka mwisho wa vipindi.Pia nilikua mchezaj mzuri wa mpira wa kikapu.Pia nilikua mchezaji mzuri wa muziki staili ya kuvunjikavunjika.Namiliki simu utaniambia nini.
Mwandaaji wà safari za pikiniki.wacheza kareti ndio sisi,ugomvi ndio sisi,bangi na mimi.Enzi hizo tuna rap rap yaani ni balaa tu la ujana.
Ulizia sasa matokeo yangu.....
Edmund rice 2002++++ watakua wananikumbuka

Sent using Jamii Forums mobile app
Ya form ngapi hayo matokeo ya 2002?, kumbe mi mtoto kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
. O level nilikuwa nacheza sana mpira ,lakin kutokana na life style sina mboyoyo nyingi sikuwa najua kama watu wananijua ...nililijua hilo baada ya kumaliza c'se ukikutana na mtu hata ambaye hukua na story nae shulen swali la kwanza ni bado unaendelea kucheza mpira.?. Kwa ujumla life style yangu ni ngumu sana kuwa maarufu ingawa mpira kwa kiwango flan unanitambulisha...na ni had mtu anione nacheza ndio atajua ni mchezaj mzuri otherwise huwez jua kwa sababu sijielezei kwa hyo...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mi mwenyewe nikikumbuka hua najicheka mpaka basi yani akili nilizokua nazo sasa yule mtoto kwa uzuri aliokua nao aiseh nahisi ningemtegua kiuno [emoji23][emoji28]

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha bahati haiji mara mbili,hali kama hiyo inatokea nakumbuka nilipo kuwa Seco Kuna jamaa alikuwa mashaalah wanafunzi wa kike kila mmoja anatamani awe nae karibu jamaa alikuwa ananiimbisha wala simuelewi, akaniandikia barua nikaipeleka Ofisini alichezea stiki.
 
Sijawahi fell kiakademiki.Sina akili nyingi ila ngazi zote nilivuka mpaka University.Naamini malengo ya elimu si kua na akili nyingi Bali ni kupiga msuli hatari na wamalengo na kuheat targeted areas.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Primary - Nilikuwa sifuti fimbo, shule nzima walikuwa wananijua na nikitumwa na mwalimu kutafuta fimbo darasa linaanza kulia kabla sijarudi nitakuja na vitu si mchezo.

Olevel - Kama kawaida sifuti fimbo na kupiga makonda wa Tegeta-Kariakoo

Advance - Sikua maarufu kabisa, nilikua doja sana.

Chuo - Machimbo ya chapati na maharage.
Mjukuu wangu
Haha
unamfaham Mr Impossible nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi rekodi yangu hadi leo c Shule TU nadhani hata Tz na dunia kwa ujumla haijavunjwa
kwanza KABISA

plak yangu ya kwanza kufanya ilikuwa siku ya mtihan wa taifa
Hapo ndo nikajua
ma tritation,ma qualitative,ma elastic,ma equilibrium ma fudi test etc
hata Sijui nilifanyaje fanyaje matokeo yakaja nikiwa na A flat PCB

ilikuwa kumaliza mwaka MZIMA bila kwenda Shule ilikuwa c ajabu.yaani mpaka wanafunzi wakawa wanadhani me mgeni kila nikienda

Uhuni na Utukutu,Hapo sisemi nisije onekana najipaisha

UONGO hahahahhah hiyo Hadi leo hii HAKUNA aliyevunjaga

Usalama wa Taifa fake
hahaha hapo nilikuwa naendaga Hadi ofisini kwa Mwl mkuu napiga chai fulesh bila shida

Niliwahi hitishaga maandamano hiyo primary
uli kiki Sana Hadi vyombo vya nje viliuripoti

O Level niliwekaga mgomo
Hahahahah Afisa elimu aliomba poo

Ni mengi
Chuo Nikisema watanijua humu


Sent using Jamii Forums mobile app
Ongeza kidogo mkuu.
 
Back
Top Bottom