Mimi rekodi yangu hadi leo c Shule TU nadhani hata Tz na dunia kwa ujumla haijavunjwa
kwanza KABISA
plak yangu ya kwanza kufanya ilikuwa siku ya mtihan wa taifa
Hapo ndo nikajua
ma tritation,ma qualitative,ma elastic,ma equilibrium ma fudi test etc
hata Sijui nilifanyaje fanyaje matokeo yakaja nikiwa na A flat PCB
ilikuwa kumaliza mwaka MZIMA bila kwenda Shule ilikuwa c ajabu.yaani mpaka wanafunzi wakawa wanadhani me mgeni kila nikienda
Uhuni na Utukutu,Hapo sisemi nisije onekana najipaisha
UONGO hahahahhah hiyo Hadi leo hii HAKUNA aliyevunjaga
Usalama wa Taifa fake
hahaha hapo nilikuwa naendaga Hadi ofisini kwa Mwl mkuu napiga chai fulesh bila shida
Niliwahi hitishaga maandamano hiyo primary
uli kiki Sana Hadi vyombo vya nje viliuripoti
O Level niliwekaga mgomo
Hahahahah Afisa elimu aliomba poo
Ni mengi
Chuo Nikisema watanijua humu
Sent using
Jamii Forums mobile app