Mnazareth
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 3,474
- 7,404
Nishakujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chekechea mpaka six dar. Chuo ndo mikoani
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nishakujua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chekechea mpaka six dar. Chuo ndo mikoani
Aaah,wapi😀
Wewe tena kwa Ubuyu! !Sikuwezi[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja aje kwanza.Mwaga mambo!!!kakakaa[emoji3][emoji16][emoji16]!
Ramli chonganishiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe tena kwa Ubuyu! !Sikuwezi[emoji23][emoji23][emoji23]Ngoja aje kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ni ubuyu tu kwa kwenda mbele....Sasa hvi nikipata ubuyu tu nauripoti kwako[emoji23][emoji23]
Basi basiiii👐👐
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I was the dumb one,yaani niponipo tu tangu primary mpaka sekendari..
Nlikuwa napenda sana mihogo..Mungu ameweke pema Babu na Bibi Chodo..na Mama Maandazi..they made my life awesome !!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Secondary , maarufu kwa uji wa asubuhi , hata ukiandaliwa kikombe kimoja napata .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kumbe muoga enhe...!!Basi basiiii[emoji114][emoji114]
Usije kulipua bure ikawa balaaa😂😂😂
Hahaha hili tumelimaliza kwa namna nzuri tu rafiki.Usije kulipua bure ikawa balaaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Uliwahi kurekodi??Primary ni kwa sababu nilikuwa kipanga halafu wa kishua,secondary ni kwa sababu nilikuwa kipanga halafu rapper, advance ni kwa sababu nilikuwa kipanga mwalimu wao (tulienda kuanzisha comb na shule haikuwa na mwalimu), chuo nilikuwa underground king
Ndio lakini kwa collabo