Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Hilo jina tu mimi siwezi kuonja.
Kwanini boss wangu! Sio strong..laini fulani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo jina tu mimi siwezi kuonja.
Kwanini boss wangu! Sio strong..laini fulani
Ahhahaa unaniangusha mwamba!..hahahaa...naogopa kulkutania..😉😉au ww mwanaume wa dar kwamba had muwa mnamenyewa😉😉!...be strong nigga!Jina linaonekana la kibabe sana.
Ahhahaa unaniangusha mwamba!..hahahaa...naogopa kulkutania..😉😉au ww mwanaume wa dar kwamba had muwa mnamenyewa😉😉!...be strong nigga!
Wala hata usiogope, nilishafika umri wa kutotest pombe nisizozielewa.
Mimi kama Serengeti Lite na Castle Lite hakuna, ninaweza kunywa Heineken na Windoek tu, otherwise ni maji.
Sana labda iwe ni siku ya Whisky na hapa ni JD tu.
K-Vant ndogo naweza kuinywa ila ni kwa tabu sana.
😅😅dongo hili..lol...thts nice!
Nilihamia ngeti lite nikaona ni hasara sasa bipo na ngeti lagerNilianza na Ndovu special malt, baadae nikajikuta nahamia kwa Serengeti lite.
Sent using Jamii Forums mobile app
hamna mkuu..ukinunua kwa bei ya jumla ni affordable.Mkuu bajetI yako naona nzito kidogo
soon unahamia kwenye machozi ya simba.Nlikuwa mzee wa Serengeti lite nikatoka nikaenda castle lite, nikaacha nikaenda Kilimanjaro nikatoka nikaenda Safari nimetoka saiz nipo na konyagi na k vant haya yote n ndan ya mwaka na nusu.
Huko mbele ya miez sita naamini nitakuwa napita kwa mama muuza Yan hii Hali ngumu sana
soon unahamia kwenye machozi ya simba.
Mkuu nikupongeze kwa uamuzi wako kuna haja ya kukutafuta tupige hata 4 nne hv kusherekea uamuz wako