Je, umebadili bia yako pendwa?

Je, umebadili bia yako pendwa?

Ahhahaa unaniangusha mwamba!..hahahaa...naogopa kulkutania..😉😉au ww mwanaume wa dar kwamba had muwa mnamenyewa😉😉!...be strong nigga!

Wala hata usiogope, nilishafika umri wa kutotest pombe nisizozielewa.

Mimi kama Serengeti Lite na Castle Lite hakuna, ninaweza kunywa Heineken na Windoek tu, otherwise ni maji.

Sana labda iwe ni siku ya Whisky na hapa ni JD tu.

K-Vant ndogo naweza kuinywa ila ni kwa tabu sana.
 
😅😅dongo hili..lol...thts nice!
 
Sa hivi nimehamia Pilsner 500ml buku jero kutolea Safari Larger..
 
Jamaa alikuwa anakunywaga Heinkein/Whindhook (3000-400 kwa chupa moja) sasa amehamia kwa Plisner Lager/Serengeti light 🙌
 
Nlikuwa mzee wa Serengeti lite nikatoka nikaenda castle lite, nikaacha nikaenda Kilimanjaro nikatoka nikaenda Safari nimetoka saiz nipo na konyagi na k vant haya yote n ndan ya mwaka na nusu.

Huko mbele ya miez sita naamini nitakuwa napita kwa mama muuza Yan hii Hali ngumu sana
 
Heinkein ndo mwake ila kwa hali ya sasa unaweza kupitisha miezi mitatu kavu, hata ka harufu unajikuta unakasahau
 
Nlikuwa mzee wa Serengeti lite nikatoka nikaenda castle lite, nikaacha nikaenda Kilimanjaro nikatoka nikaenda Safari nimetoka saiz nipo na konyagi na k vant haya yote n ndan ya mwaka na nusu.

Huko mbele ya miez sita naamini nitakuwa napita kwa mama muuza Yan hii Hali ngumu sana
soon unahamia kwenye machozi ya simba.
 
Back
Top Bottom