Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

Majibu:

1. Inabidi kuangalia hyo support unayosema anatoa kwa wasanii wengne, angekua anatoa support ya hvo akat yuko peak kweli tungesema safi sio sahv ambapo majority wanasema kashuka kimkziki

2. Point ile ile namba 1, ukwel ndo huo kaanza kutoa support baada ya jua kuzama panakaribia kua giza

3. Amefanya sample ya hit ya zamani, kwa wenzetu blue angevuna hela nyingi sana bila ata kushirikishwa ila naamini 98% byser kaambulia posho kdogo na kushirikishwa, ngoma itawekwa kwenye platform za mondi na atavuna ubunifu wa mwngne. Nyongeza hii ngoma imemuhitaji jay melody kuliko vicecersa...mondi had to work with jay and not otherwise ✌

Yote kwa yote ngoma nzuri
 
Kiujumla wameimba vizuri wote watatu , lakini nilitegemea mashairi yatakuwa makali kama mapozi original
 
Yaani bora wangetumia ile chorus og ya mapozi....ngoma mbaya sana.

Mondi hatakuja kupata collabo kali kama alizokuwa akipewa na harmonize na rayvanny hapa bongo.
 
Ameshuka kivpi mkuu

Vitu Gani umecheki na uka draw conclusion Kwamba la masimba kashuka kimuziki

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
The eyes of music and ears of music is two difference

Ukimwona
Enjoy

Which is best song and which is hit song.?
It's depends on various factors
ie ....mood

Environment...ukiwa partying utachgua enjoy......ukiwa umetoswa utachagua ....ukimwona[emoji23][emoji23]



Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…