Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

Je, umeionaje ngoma ya mapozi ya Diamond, Mr. Blue na Melody?

Binafsi nmeona vitu vitatu Kwa la masimba dangote

1. Baada ya zile tuhuma za Kwamba mwamba anawavimbia wasanii wa kibongo Sasa kaamua kuwapa airtime wabongo ...mind you alianza na jux.....Gnako ...Jana kaja na Mr blue na jay melody.

2. Kaanza kufanya empowerment nje ya WCB Ili kubalance mziki wa bongo kama mnakumbuka ...hapa bongo graph ya mziki ilibend Kwa wasafi tu since record label zote zilikuwa Chali hivyo mziki wa bongo ulikuwa dominated na WCB

3. Ngoma ni Kali sana....wanyama wameua na ilisubiliwa Kwa hamu ....fulsa ya jay melody kuanza kuwika hapa east Africa kwasababu ukitoa wimbo na la masimba dangote Africa yote itakujua ... rather than ukitoa wimbo na kiba, vanboy na konde ...utaishia tu huko Ukerewe

View attachment 2883165

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Majibu:

1. Inabidi kuangalia hyo support unayosema anatoa kwa wasanii wengne, angekua anatoa support ya hvo akat yuko peak kweli tungesema safi sio sahv ambapo majority wanasema kashuka kimkziki

2. Point ile ile namba 1, ukwel ndo huo kaanza kutoa support baada ya jua kuzama panakaribia kua giza

3. Amefanya sample ya hit ya zamani, kwa wenzetu blue angevuna hela nyingi sana bila ata kushirikishwa ila naamini 98% byser kaambulia posho kdogo na kushirikishwa, ngoma itawekwa kwenye platform za mondi na atavuna ubunifu wa mwngne. Nyongeza hii ngoma imemuhitaji jay melody kuliko vicecersa...mondi had to work with jay and not otherwise ✌

Yote kwa yote ngoma nzuri
 
Kiujumla wameimba vizuri wote watatu , lakini nilitegemea mashairi yatakuwa makali kama mapozi original
 
Yaani bora wangetumia ile chorus og ya mapozi....ngoma mbaya sana.

Mondi hatakuja kupata collabo kali kama alizokuwa akipewa na harmonize na rayvanny hapa bongo.
 
Majibu:

1. Inabidi kuangalia hyo support unayosema anatoa kwa wasanii wengne, angekua anatoa support ya hvo akat yuko peak kweli tungesema safi sio sahv ambapo majority wanasema kashuka kimkziki

2. Point ile ile namba 1, ukwel ndo huo kaanza kutoa support baada ya jua kuzama panakaribia kua giza

3. Amefanya sample ya hit ya zamani, kwa wenzetu blue angevuna hela nyingi sana bila ata kushirikishwa ila naamini 98% byser kaambulia posho kdogo na kushirikishwa, ngoma itawekwa kwenye platform za mondi na atavuna ubunifu wa mwngne. Nyongeza hii ngoma imemuhitaji jay melody kuliko vicecersa...mondi had to work with jay and not otherwise [emoji111]

Yote kwa yote ngoma nzuri
Ameshuka kivpi mkuu

Vitu Gani umecheki na uka draw conclusion Kwamba la masimba kashuka kimuziki

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom