Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

Je, umemsave vipi kwenye simu mwenzi/mpenzi wako?

Kimeo,
mfupi,
kula ushibe,
Trekta Tope.
Nyamaume.
Kibao kinageuka.
Chujio
Bwawa hombolo
Pango Amboni
Superglue😁
 
Aisee nimekumbuka nilikuwa nampenda sana baby mama ila uwez amini kusave namba yake nilishindwa kabsa na sjui Kwanini skumoja sina hili walalile naskia swali ivi kwanini ujasave namba yangu nilimgeukia huku nimetumbua macho huku nikijiuliza huyu kaonaje mbona hana tabia ya kushika simu yangu sikupata jibu alibaki akiniangalia tu nikamjibu nimesave lakin ukweli sijasave akaamua kupotezea
Kiukweli mbaka leo ipo vilevile mbaka leo nilijikuta napenda iwe namba tu nasiokwamba simpendi Hapana au sijasave kwasababu ninamcheat Hapana sikuwa na mwanamke mwingine ila mimi mwanamke siwez kumsave zaidi ya jina lake halisi hata iweje sjajua Kwanini ila ndo nilivyo hivyo sinaga mambo mengi
 
Mnavyopamba kama mahusiano mazuri 😀

Hii ni kwaajili ya wenye wapenzi sisi wengne haituhusu
 
Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.

Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee n.k. si msave tu JUMA, JOSE, TINA au MWAJUMA?

Kila nikitafakari nakosa mantiki ya watu kufanya hivyo. Je, siku ukigundua mpenzi wako amekusave tofauti kwenye simu utajisikia na kumuelewaje?
Meneja,fundi gari,carwash,police,katibu kwani wanawake hawawezi kua n majina hayo
 
Nimekumbuka nilishika simu ya ex wangu nikakuta kanisave mamamzungu UDSM nikaona hayupo seriously tukaachana [emoji23][emoji23]
 
Najaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.

Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee n.k. si msave tu JUMA, JOSE, TINA au MWAJUMA?

Kila nikitafakari nakosa mantiki ya watu kufanya hivyo. Je, siku ukigundua mpenzi wako amekusave tofauti kwenye simu utajisikia na kumuelewaje?
Nimemsave DPMapenzi
 
Daahh kishwambi jamani mi nimeona rafiki yangu kamsave mume wake BAZAZI nikaogopa nilipomuuliza akasema yeye alikuta kaseviwa NYAMBIZI akamind sana

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119] Hao wote wehu!!!
 
Back
Top Bottom