Wakuperuzi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2023
- 2,348
- 5,841
okay muite mungu wakoNatamani nimuandikie zaidi ya hii mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
okay muite mungu wakoNatamani nimuandikie zaidi ya hii mkuu
Sawa nitafanya hivyookay muite mungu wako
Meneja,fundi gari,carwash,police,katibu kwani wanawake hawawezi kua n majina hayoNajaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.
Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee n.k. si msave tu JUMA, JOSE, TINA au MWAJUMA?
Kila nikitafakari nakosa mantiki ya watu kufanya hivyo. Je, siku ukigundua mpenzi wako amekusave tofauti kwenye simu utajisikia na kumuelewaje?
Ukishikwa shikamanaView attachment 2718214
Vijana wa kataaa ndoa wanapita nyau nyau
Hujashikwa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Siku nikisave hivi labda ninyongwe [emoji1787][emoji1787]
Nimemsave DPMapenziNajaribu kuwaza nakosa majibu sahihi, ni kitu gani kinapeleka wanaume kusave wanawake zao majina ya kiume kwenye simu na wanawake pia halikadhalika.
Kwani hata kama mnachepukiana si usave jina lake tu halisi badala ya kuweka majina maalum ya kuonesha uhusiano wenu? kama babe, honey, sweetiee n.k. si msave tu JUMA, JOSE, TINA au MWAJUMA?
Kila nikitafakari nakosa mantiki ya watu kufanya hivyo. Je, siku ukigundua mpenzi wako amekusave tofauti kwenye simu utajisikia na kumuelewaje?
Hujashikwa wewe[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Daahh kishwambi jamani mi nimeona rafiki yangu kamsave mume wake BAZAZI nikaogopa nilipomuuliza akasema yeye alikuta kaseviwa NYAMBIZI akamind sana
😂😂😂😂Kimeo,
mfupi,
kula ushibe,
Trekta Tope.
Nyamaume.
Kibao kinageuka.
Chujio
Bwawa hombolo
Pango Amboni
Superglue😁