Elinasi A Mmbaga
Member
- Jul 20, 2013
- 76
- 3
Vp! Kule wanajali mkopo@Eshykwani uliichagua au ulichaguliwa? subiri waje wanaoijua wakushauri, ila twende tu mipango tutakuwa wote!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp! Kule wanajali mkopo@Eshykwani uliichagua au ulichaguliwa? subiri waje wanaoijua wakushauri, ila twende tu mipango tutakuwa wote!
Vp! Kule wanajali mkopo@Eshy
aisee mi mwenyewe mgeni huko, ila nasikia huwa wanatoa
nimechaguliwa bachelor of bussnes studies ila mimi nataka nihamie BAF so cjui naweza fanya hivyo kabla ya registration coz niko karibu na chuo
Nenda BAF ,ipo kwenye big 5, 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance , ipo kwenye big 5 ,
sasa naweza kuhama kabla ya registration kama niko karibu na chuo?????
sasa naweza kuhama kabla ya registration kama niko karibu na chuo?????
nenda chuoni ukawaulize ili wakupe mchakato kamili
thax mkuu
thax ,ndio nini?
Wamenipeleka Mipango
Bachelor Degree in Dvt Planning
Naomben ushaur wenu kua nibadilishe au vp?
kozi gani na chuo gani ..? Karibu
Kama kozi yako ipo kwenye zile big 5, 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance, ndio uridhike nayo hio kozi