Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

Je Umeridhika na kozi/chuo ulichochaguliwa ?!

nimechaguliwa bachelor of bussnes studies ila mimi nataka nihamie BAF so cjui naweza fanya hivyo kabla ya registration coz niko karibu na chuo
 
nimechaguliwa bachelor of bussnes studies ila mimi nataka nihamie BAF so cjui naweza fanya hivyo kabla ya registration coz niko karibu na chuo

Nenda BAF ,ipo kwenye big 5, 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance , ipo kwenye big 5 ,
 
Nimeridhika na ninamshukuru Mola kwa kunipa chaguo lililo moyoni na damuni.Civil Engineering nakupenda,UDSM mukilele!
 
Kama kozi yako ipo kwenye zile big 5, 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance, ndio uridhike nayo hio kozi

ya kwako unayosoma mbona hamna hapo ile ya chuo cha ushirikaa moshii..(procurement and marketing)! Au ndo itakuwa kwenye big 1000...! hahaahaahaaha mpigachaboo
 
Last edited by a moderator:
Nenda BAF ,ipo kwenye big 5, 1.engineering 2.law 3.medicine 4.architecture 5.accounting&finance , ipo kwenye big 5 ,

kwa Tanzania hapa big 5 inategemea we unamjua nani na anafanya ofisi gani, watu wapo makazini vitu walivyosoma havifanani na kazi wanazofanya na bado wanalipwa vizuri 2. Make connections that is what important.
 
Nimechaguliwa. Bachelor of Art In Cultural Anthropology and Tourism. (BACAT). IRINGA UNIVERSITY.
 
Back
Top Bottom