M mfuaji JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 203 Reaction score 259 Nov 7, 2024 #41 Olando piratesi (olando pirates) by mtangazaji wa kike wa RFA sijui ni nani.
secretarybird JF-Expert Member Joined Aug 22, 2024 Posts 2,998 Reaction score 4,948 Nov 7, 2024 Thread starter #42 Special case said: Jaribu kuangalia aina ya watu unaojamiiana nao. Mimi nimekutana na watu wana makosa mengi lakini sijawahi sikia mtu anasema oksaidi na magrid. Click to expand... Labda niweke pamba masikioni, kuacha kujamiiana na watu kama hawa siwezi.
Special case said: Jaribu kuangalia aina ya watu unaojamiiana nao. Mimi nimekutana na watu wana makosa mengi lakini sijawahi sikia mtu anasema oksaidi na magrid. Click to expand... Labda niweke pamba masikioni, kuacha kujamiiana na watu kama hawa siwezi.
M mfuaji JF-Expert Member Joined Sep 11, 2024 Posts 203 Reaction score 259 Nov 7, 2024 #43 Ani badala ya yaani.
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,753 Reaction score 1,968 Nov 24, 2024 #44 Castr said: Laktop badala ya laptop Ko badala ya so (hii wengi wanaandika hadi humu naona) Click to expand... Hapo kwenye KO wanamaanisha KWA HIYO, Kiwahili kabisa.
Castr said: Laktop badala ya laptop Ko badala ya so (hii wengi wanaandika hadi humu naona) Click to expand... Hapo kwenye KO wanamaanisha KWA HIYO, Kiwahili kabisa.
Castr JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 35,012 Reaction score 70,201 Nov 25, 2024 #45 SUKAH said: Hapo kwenye KO wanamaanisha KWA HIYO, Kiwahili kabisa. Click to expand... Ni kiswahili cha wapi?
SUKAH said: Hapo kwenye KO wanamaanisha KWA HIYO, Kiwahili kabisa. Click to expand... Ni kiswahili cha wapi?
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,753 Reaction score 1,968 Nov 25, 2024 #46 Castr said: Ni kiswahili cha wapi? Click to expand... Hapana, ninamaanisha wanaoandika KO wanamaana ya KWA HIYO (Kiswahilil) na sio SO ( Kiingereza)
Castr said: Ni kiswahili cha wapi? Click to expand... Hapana, ninamaanisha wanaoandika KO wanamaana ya KWA HIYO (Kiswahilil) na sio SO ( Kiingereza)
I Inch 9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,093 Reaction score 1,365 Nov 28, 2024 #47 Sisi Mashabiki wa Manjesta yunaitedi Tunaruhusiwa kucomment?
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,753 Reaction score 1,968 Nov 30, 2024 #48 Ndio kama hawa NMB mobile
SUKAH JF-Expert Member Joined Apr 24, 2013 Posts 1,753 Reaction score 1,968 Dec 3, 2024 #49 Au hata Mh. DC