Je, umeshawahi mkuta mtu anatamka kimakosa neno la kiingereza/ Kiswahili/ jina la mtu hadi ukamhurumia?

Je, umeshawahi mkuta mtu anatamka kimakosa neno la kiingereza/ Kiswahili/ jina la mtu hadi ukamhurumia?

Olando piratesi (olando pirates) by mtangazaji wa kike wa RFA sijui ni nani.
 
Jaribu kuangalia aina ya watu unaojamiiana nao. Mimi nimekutana na watu wana makosa mengi lakini sijawahi sikia mtu anasema oksaidi na magrid.
Labda niweke pamba masikioni, kuacha kujamiiana na watu kama hawa siwezi.
 
Sisi Mashabiki wa Manjesta yunaitedi Tunaruhusiwa kucomment?
 
Ndio kama hawa NMB mobile
Screenshot_20241130-180508_Phone.jpg
 
Back
Top Bottom