Je, umetimiza malengo yako ndani ya mwaka huu? Kipi umejifunza?

Nakubusu

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2022
Posts
772
Reaction score
1,837
Namshukuru Mungu huu mwaka angalau nilifanikiwa kutimiza ndoto yangu ya kuwa mama. Haikuwa rahisi ila ni kwa neema tu.

Pia namshukuru mzazi mwenzang double click kwa kila jambo hata kama tulipishana kwenye baadhi ya mambo.

Zaidi nimejifunza kuwa mzazi sio kazi ndogo na imenifanya niongeze upendo na heshima zaidi kwa wazazi wangu,jamani leba sio mchezo. Umejifunza nini ndani ya huu mwaka.
 
Mimi sijiulizi nimetimiza nini kwenye huu mwaka.

Huwa najiuliza huu mwaka umenitimizia nini mimi.

Kisha naulaumu.

Nachukia dhana ya kuangalia upande mmoja (wangu)

Ionekane ni jukumu langu mwenyewe, na kwamba nastahili kujipa lawama kana kwamba kuna uzembe somewhere nimefanya.
 
Nimependa mawazo yko 😂😂😂😂
 
Namshukuru Mungu huu mwaka angalau nilifanikiwa kutimiza ndoto yangu ya kuwa mama.Haikuwa rahisi ila ni kwa neema tu.Pia namshukuru mzazi mwenzang double click kwa kila jambo hata kama tulipishana kwenye baadhi ya mambo.Zaidi nimejifunza kuwa mzazi sio kazi ndogo na imenifanya niongeze upendo na heshima zaidi kwa wazazi wangu,jamani leba sio mchezo.Umejifunza nini ndani ya huu mwaka.
Hongera
Hongera sana mkuu double click
 
kusita sita kuchukua uamuzi mgumu ni kitu mbaya sana na inachelewesha wengi mno kufikia na kutimiza ndoto na matarajio yao maisha..

Ondoa woga vaa ujasiri,
Tukianza mwaka mpya, make sure by the end of May uko zaidi ya 75% ya malengo yako ya mwaka, right?

Na,
ni kwa Neema na Baraka za Mungu hayo yote yanawezekana 🐒
 
Back
Top Bottom