Nakubusu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2022
- 772
- 1,837
Namshukuru Mungu huu mwaka angalau nilifanikiwa kutimiza ndoto yangu ya kuwa mama. Haikuwa rahisi ila ni kwa neema tu.
Pia namshukuru mzazi mwenzang double click kwa kila jambo hata kama tulipishana kwenye baadhi ya mambo.
Zaidi nimejifunza kuwa mzazi sio kazi ndogo na imenifanya niongeze upendo na heshima zaidi kwa wazazi wangu,jamani leba sio mchezo. Umejifunza nini ndani ya huu mwaka.