Nimependa mawazo yko ππππMimi sijiulizi nimetimiza nini kwenye huu mwaka.
Huwa najiuliza huu mwaka umenitimizia nini mimi.
Kisha naulaumu.
Nachukia dhana ya kuangalia upande mmoja (wangu)
Ionekane ni jukumu langu mwenyewe, na kwamba nastahili kujipa lawama kana kwamba kuna uzembe somewhere nimefanya.
HongeraNamshukuru Mungu huu mwaka angalau nilifanikiwa kutimiza ndoto yangu ya kuwa mama.Haikuwa rahisi ila ni kwa neema tu.Pia namshukuru mzazi mwenzang double click kwa kila jambo hata kama tulipishana kwenye baadhi ya mambo.Zaidi nimejifunza kuwa mzazi sio kazi ndogo na imenifanya niongeze upendo na heshima zaidi kwa wazazi wangu,jamani leba sio mchezo.Umejifunza nini ndani ya huu mwaka.
Asante......Hongera
Hongera sana mkuu double click
Safi[emoji23]Mimi sijiulizi nimetimiza nini kwenye huu mwaka.
Huwa najiuliza huu mwaka umenitimizia nini mimi.
Kisha naulaumu.
Nachukia dhana ya kuangalia upande mmoja (wangu)
Ionekane ni jukumu langu mwenyewe, na kwamba nastahili kujipa lawama kana kwamba kuna uzembe somewhere nimefanya.
Unatafuta vita na baba yeyooo
kusita sita kuchukua uamuzi mgumu ni kitu mbaya sana na inachelewesha wengi mno kufikia na kutimiza ndoto na matarajio yao maisha..Namshukuru Mungu huu mwaka angalau nilifanikiwa kutimiza ndoto yangu ya kuwa mama.Haikuwa rahisi ila ni kwa neema tu.Pia namshukuru mzazi mwenzang double click kwa kila jambo hata kama tulipishana kwenye baadhi ya mambo.Zaidi nimejifunza kuwa mzazi sio kazi ndogo na imenifanya niongeze upendo na heshima zaidi kwa wazazi wangu,jamani leba sio mchezo.Umejifunza nini ndani ya huu mwaka.