Je, umetimiza malengo yako ndani ya mwaka huu? Kipi umejifunza?

Amen
 
Katika mwak nimekuwa mzembe huu
Nimeandika malengo lkn nasita sita kuyatimiza
Ni kawaida kubugdet kilakitu changu kila mwez na kupiga hesabu za mwaka ila ninamiez sita sihashika notebook na nikishika siizingatii kabisa najiendea ovyo ovyo tu Mungu anisaidie nirudi kwenye mstari
 
Huu mwaka zaidi ya kulipia watoto ada na kumnunulia wife ka gari hakuna kitu ingine ya mana nimefanya zaidi ya ulevi na uzinzi ..Mungu nisamehe na naomba nianze nwaka mpya na mambo mapya nina mwezi na siku kazaa za kumalizia zambi.
Kwa kuwa umetubu basi ukafanikiw
 
Hongera kwa kuwa Mama, ila siwezi kuita kuzaa ni malengo maana hilo ni uhalisia wa kibaiolojia kwa viumbe vyote vinavyotembea duniani
Unaweza kusema umetimiza jukumu kama mke katika ndoa
 
Atakusaidia kwa kuwa ushajua upungufu wako uko wapi.
 
Mimi namshukuru Mungu nimetimiza almost 90% ya malengo yagu ya mwaka huu. Isingekuwa mambo fulani fulani huenda ningetimiza 200% kabisa.
Nimejifunza kuwa ukiweka malengo usiende nje nayo iwe mvua au jua. Na pia usifuate sana watu wanafanya na wanasema nini maana miruzi mingi humchanganya mbwa.
 
Hongera kwa kuwa Mama, ila siwezi kuita kuzaa ni malengo maana hilo ni uhalisia wa kibaiolojia kwa viumbe vyote vinavyotembea duniani
Unaweza kusema umetimiza jukumu kama mke katika ndoa
Asante sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…