Je, umewahi kujiuliza kwanini Passport za kusafiria hazitolewi bure nchini?

Je, umewahi kujiuliza kwanini Passport za kusafiria hazitolewi bure nchini?

New ID l

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
248
Reaction score
480
Hello guys!

Ebu imagine nini kitatokea iwapo passport au hati za kusafiria zitatolewa bure kwa wananchi bila malipo yoyote?!
 
Material ya kutengenezea unalipia. Hata NIDA unalipia indirectly.
 
NIDA haulipii ila unatoa hela ya usumbufu mkuu hahaha!!!!
Hela ya usmbufu, aina mpya ya tozo? Hivi kulipa ni kupi, na kutoa hela usumbufu ni kupi.

Nani anaesumbuka, ni huyu mwananchi aliesimamisha shuguri zake kuvuatilia Card ya nina, huyu mtumishi wa Uma, aliyopo ofisini kwake, kwenye kazi yake, anayo lipwa mshahara wa kuendeshea maisha yake.
Tena kwa kodi za wananchi, akiwemo huyo anaehitaji kitambulisho.
 
Yaani Tanzania hii ya sasa ambayo kuna sekondari kila kata bado darasa la 7 unaulizia ajira za serikali!!!!
Leo nimeona mtihani wa mwanafunzi wa darasa la nne tena shule ya english medium

Kaandika RODI (ROAD) , TRANI ( TRAIN) AND CHACHI (CHURCH).

sijui kafikaje la nne??
 
Hello guys!

Ebu imagine nini kitatokea iwapo passport au hati za kusafiria zitatolewa bure kwa wananchi bila malipo yoyote?!
Passport ni nyaraka ambayo inabidi mtu awe nayo iwe anasafiri au la maana ni ujinga kuanza tafta passport wakati ndipo una safari. Ingekuwa inawezekana kila raia anapewa tu bure
 
Back
Top Bottom