Je, umewahi kujiuliza kwanini Passport za kusafiria hazitolewi bure nchini?

Je, umewahi kujiuliza kwanini Passport za kusafiria hazitolewi bure nchini?

Hela ya usmbufu, aina mpya ya tozo? Hivi kulipa ni kupi, na kutoa hela usumbufu ni kupi.

Nani anaesumbuka, ni huyu mwananchi aliesimamisha shuguri zake kuvuatilia Card ya nina, huyu mtumishi wa Uma, aliyopo ofisini kwake, kwenye kazi yake, anayo lipwa mshahara wa kuendeshea maisha yake.
Tena kwa kodi za wananchi, akiwemo huyo anaehitaji kitambulisho.
Sio mimi mkuu mazingira y nchi yetu
 
Leo nimeona mtihani wa mwanafunzi wa darasa la nne tena shule ya english medium

Kaandika RODI (ROAD) , TRANI ( TRAIN) AND CHACHI (CHURCH).

sijui kafikaje la nne??
Mkuu ilo swali la kafikaje la nne naona ungewauliza halmashauri kuu ya CCM au pale Dodoma naona ungepata majibu ya haraka mno
 
Hello guys!

Ebu imagine nini kitatokea iwapo passport au hati za kusafiria zitatolewa bure kwa wananchi bila malipo yoyote?!

Serikali haioni kwann iwape bure kwa faida ya nani?? maana unakoenda kwa shughuliza zako ww!!
Alafu mtu aloshindwa kulipia laki na 50 passport hata ukimpa bure atakimbia aende wap hata nauli hana??!!! 150k hana iyo nauli atatoa wap?
 
Cha bure hakina maumivu, pili pasipoti zinatengenezwa nje ya nchi kama ilivyo pesa,zinakuja kama vitabu tupu, Kazi yetu ni kuweka lamination ya taarifa zako tu.
 
Sema wapunguze tu urasimu wa kupata passport. Mtoto wa kike kupata passport labda akatambike, mawazo ya kipumbavu kabisa eti anaenda uarabuni kufanya Kazi atateswa, kwani hapa nchini dada wa Kazi awateswi?
Kudhibiti mateso ni suala la kisera na kielimu kuwapa seminar na nini wafanye endapo shida imetokea.
Mbona mabinti wa kifilipino wao awateswi, jibu ni serikali ya ufilipino imeweka muongozo mzuri wa kuwalinda watu wake nje ya nchi, hivyo hata hao watesaji wanaogopa. Pia nadharia ya mtu mmoja kuteswa isiwe kigezo cha kuwabania wengine.
Kama nchi imewatupa vijana waacheni wakatafute nje.
Kupata passport ishu kupita tu airport nayo ni ishu nyingine labda upite panya ukaondokee south africa au nchi zingine. Au uchomoke kwa majahazi shida ingine hii, kisa tu kiongozi mmoja kasema.
 
Ni roho mbaya tu.

Hata ukienda na pesa yako bado urasimu kibao tu mara mualiko mara hivi.
 
Passport ni nyaraka ambayo inabidi mtu awe nayo iwe anasafiri au la maana ni ujinga kuanza tafta passport wakati ndipo una safari. Ingekuwa inawezekana kila raia anapewa tu bure
Bure hapana, kama neti za kuzuia mbu tu zinatolewa bure wanaenda vulia samaki au kuifanya fence passport si wataacha iliwe na panya.
Bure haiumi
 
Hakuna sehemu duniani wanatoa bure
Kama unashindwa kulipa hela hiyo sasa hiyo ticket itakuwaje?
Yangu nje ya nchi ku renew tu nimelipa 250,000 ( sio ya Tz
 
Leo nimeona mtihani wa mwanafunzi wa darasa la nne tena shule ya english medium

Kaandika RODI (ROAD) , TRANI ( TRAIN) AND CHACHI (CHURCH).

sijui kafikaje la nne??
Mbona kajitahidi watu wanaingia form 1 hawajui kusoma na kuandika
 
Hakuna sehemu duniani wanatoa bure
Kama unashindwa kulipa hela hiyo sasa hiyo ticket itakuwaje?
Yangu nje ya nchi ku renew tu nimelipa 250,000 ( sio ya Tz
Kuna makosa kwenye episode yako, tafadhari hakikisha unatunga story nzuri!
 
Back
Top Bottom