Just a person
JF-Expert Member
- May 16, 2022
- 984
- 1,232
Mimi mtoto wa kike nina passport tena nmepata within a week sina ata connection na sijatambika vingine sio vya kukaza ubongo jamani weka documents zako sawa jiamini for interview akuna atakuchezeaš
Sema wapunguze tu urasimu wa kupata passport. Mtoto wa kike kupata passport labda akatambike, mawazo ya kipumbavu kabisa eti anaenda uarabuni kufanya Kazi atateswa, kwani hapa nchini dada wa Kazi awateswi?
Kudhibiti mateso ni suala la kisera na kielimu kuwapa seminar na nini wafanye endapo shida imetokea.
Mbona mabinti wa kifilipino wao awateswi, jibu ni serikali ya ufilipino imeweka muongozo mzuri wa kuwalinda watu wake nje ya nchi, hivyo hata hao watesaji wanaogopa. Pia nadharia ya mtu mmoja kuteswa isiwe kigezo cha kuwabania wengine.
Kama nchi imewatupa vijana waacheni wakatafute nje.
Kupata passport ishu kupita tu airport nayo ni ishu nyingine labda upite panya ukaondokee south africa au nchi zingine. Au uchomoke kwa majahazi shida ingine hii, kisa tu kiongozi mmoja kasema.