Je, umewahi kujiuliza nia ya Rais Samia kusamehe wafanyabiashara kodi za nyuma?

Hii ni moja ya hadithi utakayoikuta kwa mfanya biashara yeyote yule mkwepa kodi na anayetaka huruma kwa mwananchi wa kawaida, ila kiuhalisia ni hakuna tra afisa akajakukupigia hesabu kama hizo unless otherwise ulimgongea mke/ demu wake.
 
Kafanye hiyo biashara basi, siyo kunuka mdomo tu.
 
Mimi nilivyomuelewa wakati ule ni kuwa kama mfanyabiashara umekuwa unalipa Kodi zako kila mwaka TRA inakuwaje ghafla unaambiwa unadaiwa Kodi za miaka ya nyuma?

Sidhani kama hili ndiyo sababu ya kuweka tozo. Wameona kuwa tozo ni suluhisho la kuongeza mapato ya serikali lakini sindani kama ni suluhisho endelevu.
 
Mamlaka hyo anayo.
Over
 
Kama Kodi gani hiyo? Maana kama TRA ulizembea kukusanya then uje kubambikia Kodi ambayo haipo hilo halikibaliki..

Ila kama unadaiwa na utalipa mdogo mdogo hakuna cha msamaha unless ulibainika pasi na shaka kwamba ulikwepa Kodi.
 
Rais Samia Suluhu yuko madarakani kwa lengo la kupambana na umasikini na sio kuwadidimiza wananchi ndio maana amesamehe maana wengine wangefilisika kabisa na tozo ipo kwaajili ya maendeleo ya nchi na sio ka usemavyo
 
Utawaelemishaje hao wanashinda humu kwenye mitandao na kutoa lawama kwa kila kitu?

Hata hilo wanalolizungumzia hawalijui alimradi malawama tu.
 
Utawaelemishaje hao wanashinda humu kwenye mitandao na kutoa lawama kwa kila kitu?

Hata hilo wanalolizungumzia hawalijui alimradi malawama tu.
Kimsingi , kibiashara , kodi ambayo hailipiki maana yake FUNGA BIASHARA!
Msimamo huo ni hasi kwa maendeleo ya nchi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…