Je umewahi kukaa nyumba ambazo zina vimbwanga

Lotus 123

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2021
Posts
3,151
Reaction score
5,513
Kwa yoyote ambaye amewahi kukaa nyumba ambayo haikaliki alete mrejesho. Kuna watu wanapika chakula
 
Kwa yoyote ambaye amewahi kukaa nyumba ambayo haikaliki alete mrejesho,Kuna watu wanapika chakula
kuna siku ,kama mara mbili nilikuta chura kakauka balaa kwenye nguo chafu chumbani, ni mimi tu naingia humo
baada ya miezi fulani nikakakuta tena ka chura kamekaukiana sebuleni
vishindo nje ya nyumba ndo usiseme
 
Kuna mshkaji wangu aliishi Ilala Shariff Shamba, Choo chao ni vile vya shimo ila vimewekwa Sinki haya ya kisasa, sasa hiyo siku jamaa ameingia toilet anaona moshi unatoka kama vile mtu amevuta sigara afu moshi unapulizwa yaani unatoka kwa pressure kali..... the other day jamaa alikutana na chungwa lina hang katika kati ya shimo yaani chungwa halijashikiliwa na chochote lakini lipo tu na limeshamesha!!
 
Kuna mshkaji wangu aliishi Ilala Shariff Shamba, Choo chao ni vile vya shimo ila vimewekwa Sinki haya ya kisasa, sasa hiyo siku jamaa ameingia toilet anaona moshi unatoka kama vile mtu amevuta sigara afu msohi unapulizwa yaani unatoka kwa pressure kali..... the other day jamaa alikutana na chungwa lina hang katika kati ya shimo yaani chungwa halijashikiliwa na chochote lakini lipo tu na imeshamesha menywa!!
Daah,na bado alikuwa na guts za kukata gogo??unaweza ukapigwa dole kizembe,[emoji1787][emoji1787]
 
Naskia ukilala na mfupa wa PIG hawa jamaa wa ulimwengu wa giza huwa hawasogei.... Mfupa wa Pig una resistance gani na hawa au ni mambo ya kufikirika tu?
 
mama mwenye nyumba enzi za ujana kaja kuniwangia usiku kichawi chawi, nikamshtukia, kimyakimya nikamla kiboga.... akaenda zake..

asubuhi ananiona anaanza kuchekacheka, ukawa ndio mchezo wake namimi kimyakimya akija siongei naye namla, asubuhi anabaki anachekacheka tu....
 
Tukiwa chuo tulipanga nyumba kwa bibi fulani tulikuwa wawili na jamaa na mweny nyumba ni mbibi mzee sana yaani kutembea ni shida, siku Tunapata chumba tulikuta Kuna vyumba kibao empty yaani na uwani vizo master mbili zinajitegemea ..

Tulikaa pale miaka 2 ila Kuna jirani alituamvia yule bibi ni mchawi ila hatukuwahi kuona ivyo vimbwanga mpaka tumeondoka ,yaani miaka miwili chuo mwaka wa kwanza na wapili..
Sio Mimi wala jamaa hatukuwahi kushuhudia ivyo vimbwanga na palikuwa sometime siku za paper tunakuwa hata nane tuna vitanda viwili na godoro la chini dogo tunasoma mpaka usiku na tunapiga makelele.

Siku moja yule bibi tukiongea aliongea kwa uchungu anasema sasa kazeeka anaitwa "mchawi" na alikuwa na pesa sana wanae wote wako nje wengine wamekufa ana nyumba mbili..sometimetime kodi alikuwa anavunga ili nyumba ikae na watu tu anaweza akatupa hata mwezi mmoja offer.

Tatizo la ile nyumba ni ya kizamani haswa mfumo wa umeme ilikuwa shoti kwa wenzetu sisi tulikuwa na pasi tu hata TV hatuna ndo maana walikuwa wanahama ..Na hataki kukarabati.
 
Tukiwa chuo tulipanga nyumba kwa bibi fulani tulikuwa wawili na jamaa na mweny nyumba ni mbibi mzee sana yaani kutembea ni shida, siku Tunapata chumba tulikuta Kuna vyumba kibao empty yaani na uwani vizo master mbili zinajitegemea ..

Tulikaa pale miaka 2 ila Kuna jirani alituambia yule bibi ni mchawi ila hatukuwahi kuona ivyo vimbwanga mpaka tumeondoka ,yaani miaka miwili chuo mwaka wa kwanza na wapili..
Sio Mimi wala jamaa hatukuwahi kushuhudia ivyo vimbwanga na palikuwa sometime siku za paper tunakuwa hata nane tuna vitanda viwili na godoro la chini dogo tunasoma mpaka usiku na tunapiga makelele.

Siku moja yule bibi tukiongea aliongea kwa uchungu anasema sasa kazeeka anaitwa "mchawi" na alikuwa na pesa sana wanae wote wako nje wengine wamekufa ana nyumba mbili..sometime kodi alikuwa anavunga ili nyumba ikae na watu tu anaweza akatupa hata mwezi mmoja offer.

Kaishi Mbagara, Temeke, Buguruni, Tandika, Mwananyamala, Tandale. Hayo maeneo kurogwa, kutupiwa mchanga ujui nani, ukila vizuri mwenye nyumba kanuna.

Mita ya umeme anayo mwenye nyumba na hakuna kuuliza unit zipo ngapi! kulazimishwa pesa ya usafi.

Masharti kama mwanaume usilete wanawake tena ndo mama au baba mwenye nyumba ana mabinti lazima utaviona.
 
Back
Top Bottom