Phamarcist
JF-Expert Member
- Apr 18, 2021
- 219
- 479
Nilipanga chumba temeke ( kwa kidande) uswahilini sana enzi hizo naanza maisha. Baada ya week moja siku hiyo nimetoka likwid (wakati ndio inaanza) nilinunua mguu wa mbuzi niko na mshkaji wangu tunaplani tukasongwe ugali.
Baada ya kufika gheto tukiwa high kidogo tulisonga ugali mkubwa hadi wenyewe tukashangaa lakini pia wakati tunakula ilituchukua almost 10 minutes kumaliza ule ugali.na bado tulikua na njaa, yaan hatukushiba na ilikua saa 7 na robo kuelekea saa 8. Ofcourse we had some weeds akat natoa lighter yalitokea maajabu and we couldn't sleep that night.
Baada ya kukucha ndani hatukuona unga wala mifupa ya ule mguu wa mbuzi ..............................
Yaan eti mi na mwanangu tulimaliza mfuko wa dona kilo tano ndani ya usiku mmoja!!!!!