Eleminator
JF-Expert Member
- Sep 29, 2022
- 597
- 975
Asee bhas mzee ulijikaz sana aseehahahaha, sio chai mkuu nilikula sana kiboga cha mama mwenye nyumba mwanga, naona alinogewa maana kila akija namfumania akaachana na mpango wake wakuniwangia akawa analiwa kiboga tu..
Huwezi amini alikuwa akija kiwanga wanga hatuongei namvuta na matunguli + mahirizi yake namuweka sawa nakula mzigo tena kavukavu.... asubuhi ananichekeachekea tu huku mwamba niko serious...
Siku niliyohama hiyo nyumba ilikuwa imebaki miezi miwili kodi yangu kuisha, nikaja siku moja na gari nikabeba mizigo yangu nikasepa bila kiaga mtu...enzi hizo hata simu hakuna...
Kwa hyo ww ukawa n kula uroda tu