Je umewahi kukaa nyumba ambazo zina vimbwanga

Nilipanga chumba temeke ( kwa kidande) uswahilini sana enzi hizo naanza maisha. Baada ya week moja siku hiyo nimetoka likwid (wakati ndio inaanza) nilinunua mguu wa mbuzi niko na mshkaji wangu tunaplani tukasongwe ugali.

Baada ya kufika gheto tukiwa high kidogo tulisonga ugali mkubwa hadi wenyewe tukashangaa lakini pia wakati tunakula ilituchukua almost 10 minutes kumaliza ule ugali.na bado tulikua na njaa, yaan hatukushiba na ilikua saa 7 na robo kuelekea saa 8. Ofcourse we had some weeds akat natoa lighter yalitokea maajabu and we couldn't sleep that night.

Baada ya kukucha ndani hatukuona unga wala mifupa ya ule mguu wa mbuzi ..............................
Yaan eti mi na mwanangu tulimaliza mfuko wa dona kilo tano ndani ya usiku mmoja!!!!!
 
Huu n uongo bhana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Halaf yale mavitu hayapatan na misuba๐Ÿฅบ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Yaah ndo mana nikipasua misokoylto miwili au mmoja nalala zangu fresh kabsa naamka asubuh maana kuna sku unaona kama mapicha picha hv๐Ÿ˜๐Ÿ˜„
 
Nimecheka kama mjinga yaani๐Ÿ˜‚ anakuruka๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜Amini mkuu s unajua nakua nmetulia hv mida mibovu nimelala chini kweny carpet nachart spendag kukaa sana kitandaNi mara naskia kkishindo ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜ kama nmerukwa hv kudadekii
 
Bangi mbaya...!
 
Reactions: EEX
Naskia ukilala na mfupa wa PIG hawa jamaa wa ulimwengu wa giza huwa hawasogei.... Mfupa wa Pig una resistance gani na hawa au ni mambo ya kufikirika tu?
Yesu aliwakumbiza Kwa pig,kuna jamaa aliniomba nintaftie maana kwako huko siopoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ