Daah,na bado alikuwa na guts za kukata gogo??unaweza ukapigwa dole kizembe,[emoji1787][emoji1787]
π³π³Kwa yoyote ambaye amewahi kukaa nyumba ambayo haikaliki alete mrejesho. Kuna watu wanapika chakula
πππNilipanga chumba temeke ( kwa kidande) uswahilini sana enzi hizo naanza maisha. Baada ya week moja siku hiyo nimetoka likwid (wakati ndio inaanza) nilinunua mguu wa mbuzi niko na mshkaji wangu tunaplani tukasongwe ugali.
Baada ya kufika gheto tukiwa high kidogo tulisonga ugali mkubwa hadi wenyewe tukashangaa lakini pia wakati tunakula ilituchukua almost 10 minutes kumaliza ule ugali.na bado tulikua na njaa, yaan hatukushiba na ilikua saa 7 na robo kuelekea saa 8. Ofcourse we had some weeds akat natoa lighter yalitokea maajabu and we couldn't sleep that night.
Baada ya kukucha ndani hatukuona unga wala mifupa ya ule mguu wa mbuzi ..............................
Yaan eti mi na mwanangu tulimaliza mfuko wa dona kilo tano ndani ya usiku mmoja!!!!!
Mkuu labda wasiamue kukufungia kazi [emoji1787][emoji1787] mfupa hausaidii chochote omba kwa imani yako kabla hujalala hiyo ndo salama yako. Unaweza ishi kwenye nyumba inayofugwa pig ila mziki wa mauza uza ukawa pale paleNaskia ukilala na mfupa wa PIG hawa jamaa wa ulimwengu wa giza huwa hawasogei.... Mfupa wa Pig una resistance gani na hawa au ni mambo ya kufikirika tu?
Huyo jamaa anafaa sana kuishi na mimi. Kuna siku moja night kali sana around nane kuelekea tisa nilishtuka usingizini kwa makelele ya paka nahisi walikua zaidi ya wanne. Sauti ingine nikawa naisikia inatoka ndani sebuleni, nikanyata mdogo mdogo nikawasha taa pap!!Bado aliendelea kuishi hapo until kikao cha ukoo kilipokaa kumshinikiza ahame....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna watu wanazo guts mkuu acha kbs
Anza ww...Kwa yoyote ambaye amewahi kukaa nyumba ambayo haikaliki alete mrejesho. Kuna watu wanapika chakula
Kwa kuwa umezea kupigwa dushe unawaza kwa kila mtu.Mtaa wa ufipa kuna kijumba ambamo chama kikubwa kimepanga usiku wanapigwa pipe hatari
Dawa yao ndogo mbna, wanasanda wenyeweee. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio poa uswahilini wachawi wengi saNa
Weka picha, ama taja jina linalo fahamika na wengi
πππHuyo jamaa anafaa sana kuishi na mimi. Kuna siku moja night kali sana around nane kuelekea tisa nilishtuka usingizini kwa makelele ya paka nahisi walikua zaidi ya wanne. Sauti ingine nikawa naisikia inatoka ndani sebuleni, nikanyata mdogo mdogo nikawasha taa pap!!
Mara naona paka kubwa jeusi linanikodolea macho moyoni nikasema usintanie hunijui nikarudi room nikachukua rungu huku nawaza hili paka limepitia wapi mbona madirisha yote yamefungwa (ni haya ya aluminium) aisee nimerudi nakuta paka anahangaika dirishani atoke nikasema leo nakuua. Kwanza nirusha lile rungu likatua mgongoni.
Paka likatoa mlio flani kama linafoka hivi likahamia dirisha lingine mie nnalo tu sasa safari hii nlipiga sikurusha rungu.. paka likawa kama limezimia basi nikalishika nikafungua dirisha nikalitupa nje kwa kulirusha likaenda jipigiza kwenye uzio nikasema nishau paka la watu. Asubuhi naenda pale nilipolirusha, hata dalili ya paka sikuona nikasema duh! Hii hatari
Ni hivi mie hua siogopi mauza uza binadamu ninaweza kumuogopa akinijia hiyo Mida ya wanga ila sjui paka sjui bundi ndo siogopi kabisaaa. Ila mpaka kesho sijajua yule paka aliingia vipi ilihali hakukua na sehemu ya kuingilia

Mzizi wa viazi, hasogei hapo utaskia sonyooo tyuuh "mfyuuuuuuuuu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Viazi vya kawaidaaa.Weka picha, ama taja jina linalo fahamika na wengi
Ndiyo maana wazee wa uswahilini maisha yao ni mafupi kuliko wazee wambao hawaishi uswahiliniHatari uswahilini ni shidaH
Viazi vipiMzizi wa viazi, hasogei hapo utaskia sonyooo tyuuh "mfyuuuuuuuuu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu n uongo bhana