Je umewahi kukaa nyumba ambazo zina vimbwanga

Asee bhas mzee ulijikaz sana asee
Kwa hyo ww ukawa n kula uroda tu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Ulikuwa unamuonaje wakati wachawi hawaonekani kwa macho ya kawaida?

Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaaaaah ila watu lol

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachawi wana akili mbovu hahahaaa kuna jamaa anamiliki pool table kitaa flani alikamatwa na msukule na wale jamaa wa kunasua wachawi, waliomkamata wakaja kugundua kumbe ule msukule anautumia kuwala kiboga wanaume wanaocheza pool table pale kijiweni kwake wakiinama kusukuma kete just imagine akili za wachawi....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavuuu zangu mie lol.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…