Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Tatizo huanza mnakutaka kwa ajili ya nini. Mimi kuna watu kibao tumefahamiana kupitia humu na wote ni watu wema. Mambo ya kuwinda mademu na kutambiana maisha ndo huwa chanzo cha hayo yote.

Wanajf wakiamuaga jambo lao huwa ni balaa, kuna yule mwamba wa kuitwa Parabora alikuwa kila siku anatutambia kuwa yupo Uswiss sijui Canada. Kuna siku watu wakamstukia, aloo. Alijuta na kuanzia siku hiyo sijawahi kumwona tena...
😂😂😂😂 We acha tu.
Yaani kipindi kile watu waliumbuka jamani.
Kuna yule mmoja alikuwa anajiita jina la 'kusaka' alitangaziwa ndoa na mwanajf, akaitwa mpaka Mbeya akabanduliwa picha zake za faragha zikaja. Alooooo!!!!!
Bwana siku ya kwanza kamtumia laki pamoja na ya kutolea akaona mume ndo huyu, alivyojichanganya tu, kumbe bwana keshamrekodi muda tu.
Jamaa akitaka mzigo kinguvu anamwambia nasambaza picha zako. Bidada alibanduliwa mpaka alichoka.
Dada ilibidi aombe msaada ndio mods kumbadilishia user name na jamaa akala life ban😆

Jamaa alikuwa ana mpaka screenshot za miamala🤓🤓🤓
 
😂😂😂😂 We acha tu.
Yaani kipindi kile watu waliumbuka jamani.
Kuna yule mmoja alikuwa anajiita jina la 'kusaka' alitangaziwa ndoa na mwanajf, akaitwa mpaka Mbeya akabanduliwa picha zake za faragha zikaja. Alooooo!!!!!
Bwana siku ya kwanza kamtumja laki, akaona mume ndo huyu, alivyojichanganya tu, kumbe bwana keshamrekodi muda tu.
Jamaa akitaka mzigo kinguvu anamwambia nasambaza picha zako. Bidada alibanduliwa mpaka alichoka.
Dada ilibidi aombe msaada ndio mods kumbadilishia user name na jaama akala life ban😆
Matukio kama haya yanafanya wanaume wa JF tusiaminike. Kwa mfano mimi nawapenda sana Depal na financial services ila ni changamoto kuwaingia kutokana na mambo kama haya...
 
Back
Top Bottom