Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Misjawahi mkuu...🙄
Hivi kumbe kuna kunamna pipo wana mingo humu eeehhh....😳
Wewe tena ndio unafahamiana na watu wengi sana humu kuliko wana Jf wengi,na kama ningekutana na mtu humu basi ungekuwa wa kwanza, miaka mingi tuliweka miadi kuhusu kuja kuona nyumba niliyokuwa naiuza Dodoma, bahati mbaya mambo yakaingiliana nikashindwa kutokea. Nakumbuka ulinieleza jinsi ulivyokuwa dissapointed!.
 
FaizaFoxy huwa anapenda rosti, ila kama ni kitimoto ya ulimi huwa anapenda ulimi ule ukaushwe uwe kavu.
Sema huwa hapendi kula hadharani, mara nyingi wanakuwaga na Malaria 2 pale mwananyamala kuna kapub fulani hivi kapo mafichoni wanasifika kwa kutengeneza kitimoto safi na tamu sana.
Kinywaji hawa watu hupendelea sana K vant
Aisee hahah
 
Back
Top Bottom