Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa kuna code tunahitaji mhitimu wa Cuba 🇨🇺 aje afunguwe
DuhhNilikutana na kataa ndoa mmoja maarufu Sana hapa JF😆😆😆aisee ya JF yaache JF we jifunze tu ila usiige utaumia
Siku nikikutana na Lucas ndo itakua siku yangu ya mwisho kuendesha gariNilikutana na Chizi Maarifa. Aisee, nitajibu maswali yako.
Niwakilishe, nitakuletea uji segerea.Siku nikikutana na Lucas ndo itakua siku yangu ya mwisho kuendesha gari
Tuonane basi kwenye venue yenye miti miti na sauti za ndege....,😁Nasubiri kuonana na Evelyn Salt kisha nitarudi kuchangia Uzi.
😹😹😹🙌Nilikutana na genta, hana utofauti na alivyo humu jukwaani.
nitakutana nao soon ndipo nitapata fursa nzuri zaidi ya kueleza walivyo na tumezungumza nini 🐒Habari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama hauijui kabisa?
🔹Baada ya kujitambulisha mlikuwa na mazungumzo ya aina gani?
Nimeuliza hivi kwa maana watumiaji wengi wa JF hutumia huu mtandao kwa Siri sana
Share nasi uzoefu wako! 📢👇
Naamini kila mtu ana hadithi ya kipekee ya kusimulia.
#JamiiForums #Jamii #Uhalisia #UzoefuWako
Ujambazini?? Jamaa anakera na uzuri Traffic case ni faini tuNiwakilishe, nitakuletea uji segerea.
Uwe tayari tu.Tuonane basi kwenye venue yenye miti miti na sauti za ndege....,😁
Mtu kuijua ID yako wakati unaperuzi siyo rahisi kwa sababu unakuwa una-scroll randomly ataijua pale ume-reply au ume-post kwenye uzi au jukwaa husika na awe makini kweli kweli kukufuatilia.mu kuna mdada alikuja akaona nikiwa naperuzi aliachia tabasam kisha akanambia nafurahi kukutana na member mwenzangu akanipa mkono akaondoka ila sijui alijua ID yangu coz uwa i don't care hata mtu ajue ila sikumjua yeye anatumia ID gan ni pisi haswaa kama upo please najua utakumbuka ili tukio.
Alijiua kwa sababu gani mkuuNilikutana mwaka 2008 au na 2009 hivi na yule bingwa wa it alikuwa memba wa jf aliyekuja kujiua baadaye. Sijui baadae nae alianzisha forum yake. Id yake kidogo imenitoka. Nilijitambulisha kwake kuwa ni mtumiaji pia wa jf na tulikuwa na maongezi mazuri. Ilikuwa ni kwa bahati tu aliona nikibrowse mada za jf kwenye simu akawa wa kwanza yeye kujitambulisha.
Mambo ya ndoa, mkewe alikuwa nyanda za juu kusini huko sijui ndio kisa kilianzia huko. Uzi wake wa msiba umo humu jf ila siukumbuki title yake, unaweza utafuta unaelezea mkasa wake. Nilisikitika sana kwa kifo chake ukizingatia ni mtu niliyekwisha muona ana kwa ana. I think id yake ilikuwa shayo ama shio, sina uhakika bado jina limenitokaAlijiua kwa sababu gani mkuu