Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

ILa demiss alikuwa wa moto na mcheshi sana kabla lile jambo kutokea,kulichangamka sana humu kipindi kile, nakumbuka hadi akaunti yake ya facebook tuliitembelea kuona picha.
Na wambea mlikuwa hamkosi episode hata mojaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Jamani, ilikuwa raha sana.
Sahv wamejitulizia zao kimya na Pm wamefunga πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ We acha tu.
Yaani kipindi kile watu waliumbuka jamani.
Kuna yule mmoja alikuwa anajiita jina la 'kusaka' alitangaziwa ndoa na mwanajf, akaitwa mpaka Mbeya akabanduliwa picha zake za faragha zikaja. Alooooo!!!!!
Bwana siku ya kwanza kamtumia laki pamoja na ya kutolea akaona mume ndo huyu, alivyojichanganya tu, kumbe bwana keshamrekodi muda tu.
Jamaa akitaka mzigo kinguvu anamwambia nasambaza picha zako. Bidada alibanduliwa mpaka alichoka.
Dada ilibidi aombe msaada ndio mods kumbadilishia user name na jamaa akala life banπŸ˜†

Jamaa alikuwa ana mpaka screenshot za miamalaπŸ€“πŸ€“πŸ€“
 
Matukio kama haya yanafanya wanaume wa JF tusiaminike. Kwa mfano mimi nawapenda sana Depal na financial services ila ni changamoto kuwaingia kutokana na mambo kama haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…