Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Misjawahi mkuu...🙄
Hivi kumbe kuna kunamna pipo wana mingo humu eeehhh....😳
Wewe tena ndio unafahamiana na watu wengi sana humu kuliko wana Jf wengi,na kama ningekutana na mtu humu basi ungekuwa wa kwanza, miaka mingi tuliweka miadi kuhusu kuja kuona nyumba niliyokuwa naiuza Dodoma, bahati mbaya mambo yakaingiliana nikashindwa kutokea. Nakumbuka ulinieleza jinsi ulivyokuwa dissapointed!.
 
Aisee hahah
 
Baadhi niliosoma nao najua ID zao ila wao hawajui kama Mpaji ndo ID yangu ya humu nawazoom tu

Moja ni mwanaharakati humu nimewahi kutana nae tuliishia kupiga story

Dada yenu mmoja humu nliwahi onana nae Mlimani City wazeee ni Pini ya maaana nliishia kupiga nae story
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…