Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Hahaha unawashauri kipi sasa hao wanaotafuta wake JF mkuu
 
Hongera yako mkuuπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Mimi nna hii app nafungua kwa uwazi bila kuogopa nimeifatilia jamii forum toka nipo form one, mpaka sasa kwahiyo nipo confidently kuingia na kutoka..
Kwa nyie wengine ni sawa, ila baadhi yetu na hali ya hewa ya humu jukwaani tunayoisababisha, nani atathubutu kufungua mbele ya watu? Thubutuuu!!!
Itakuja picha yangu live hata kama ya AIπŸ€“
 
Watu hawashindwi Jamboree πŸ˜‚ mpaka AI
Wanaume wa humu hamshindwi na jamboreeeee.....
Niko humu tangu enzi ya Jambo forum mpaka kuwa Jamii forum.
Nawajua vilivyo wanaume wa Jf.
Yaani usithubutu kujichanganya!!!

Afu kuna ile ya kualikana member kwenye uwanja wa Pm kisirisiri
Demu anajua anachati na mchizi Pm peke yake kumbe mchizi kaalika masela wenzake wanaona kila kitu.
Sasa balaa linakuja jukwaani, unajiuliza mbona tulikuwa tunachati wawili tu? Imekuwaje hawa wengine wana mpaka screenshot zangu?
Babba.....toka mbiooooπŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£πŸ‘£πŸ’¨πŸ’¨πŸ’¨
Hii nakumbuka mpaka uongozi wa Jf ulikuja kulitolea ufafanuzi maana naona sahv kidogo baadhi ya members wamekuwa na uelewa na kusanukia mchezo huu.
 
Huwa nadonoa donoa some hints hope before end of this December ntapata wasaa kwa utulivu ntaandika
Haina nouma mshua..... ukiweka madini hayo tuyapate pate walau utupe na uendeshaji wake kuanzia kwa regulators wa pharmaceutical plus industry yenyewe ....

Mimi nilikuwa sehemu kwenye hii industry Ila kwa muda mfupi nilitamani kujua vingi.. shukrani
 
Sema kuna watu malimbukeni sana asee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…