Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Hahahaaa yule binti mfupi alitoka Mwanza akiwa amevaa sweta lililoshonwa na rangi za Bendera ya Taifa. Ila fake ID zina mambo sana.

JF ndio mtandao unaoongoza kwa watu kufake life kama walivyo na fake ID. Yule binti alikuwa anaitwa cute@#♡ au kama sikusahau.

Hilo swaga la hotel pia nililiona humu JF. 😀😀😀
 
Eeeh jamaaa alikazia binti alikuwa mfupi,mshamba na hakuwa na haiba ya kike... ila jamani walichangamsha genge sana😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…