moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 7,976
- 16,769
haya mamaa tupe ubuyu sie tutamumunya🤣🤣🤣🤣🫣ilitokea tu bahati nzuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haya mamaa tupe ubuyu sie tutamumunya🤣🤣🤣🤣🫣ilitokea tu bahati nzuri
Hahahaaa yule binti mfupi alitoka Mwanza akiwa amevaa sweta lililoshonwa na rangi za Bendera ya Taifa. Ila fake ID zina mambo sana.Labda nikupe ya yule aliyetoka mwanza akatelekezwa gesti akapewa buku7 wakaja kutukanana humu hatari au yule aliyepelekwa hotel na mwanajf asijue ni member baada akarusha picha humu anajishaua ye ni boss lady anapumzika hotel zenye hadhi kwa pesa zake ghafla jamaa kamsanua karusha picha na yeye za same room akiaminisha umma yeye ndio sponsor kilikuwa kitimutimu dada akabadili I'd chap kwa
Eeeh jamaaa alikazia binti alikuwa mfupi,mshamba na hakuwa na haiba ya kike... ila jamani walichangamsha genge sana😅Hahahaaa yule binti mfupi alitoka Mwanza akiwa amevaa sweta lililoshonwa na rangi za Bendera ya Taifa. Ila fake ID zina mambo sana.
JF ndio mtandao unaoongoza kwa watu kufake life kama walivyo na fake ID. Yule binti alikuwa anaitwa cute@#♡ au kama sikusahau.
Hilo swaga la hotel pia nililiona humu JF. 😀😀😀
Ni kaka yangu na tunaheshimiana, kwahiyo hata sasa nikienda bongo pia ntamtafutaVikojoleo je!
Ok kumbe haupo bongo!Ni kaka yangu na tunaheshimiana, kwahiyo hata sasa nikienda bongo pia ntamtafuta
Acha Njaa.financial wewe nahisi nakufahamu
kuna posts nilisoma
uhakika ni 60%
WeweeeeNi kaka yangu na tunaheshimiana, kwahiyo hata sasa nikienda bongo pia ntamtafuta
Yeah since 2012Kumbe we ni member wa zamani!
Nitajie I'd yako plsYeah since 2012
Mbona picha yako inaonyesha we ni binti!Yeah since 2012
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akija niliyemtag atakuhadisia maana katoa hadithi nyingi sana kwenye huu Uzi[emoji23]
Mic u mnoo my shangazii.I miss u my aunt
Naenda kucheza netball natamni ungekuwepo ucheke [emoji23][emoji23]
Dr nahitaji kuonana nawee Ana kwa ana.Kusalimiana jamani jambo jema [emoji28]
😂😂😂😂Kuna jamaa walikutana humu wazichape.. ile story yao sijui iliishaje
Mkasa wa kweli: Tulizichapa na member wa JF Tabata Shule
Vip, bado unaroom ya pambano jingine? Nimekuwa interested.www.jamiiforums.com
Jf inatumika kama bange tu. Kila mtu hataki ajulikane.Najua kuna ambao wanakutana kwa matukio maalum.
Ila si ile ya ghafla kwenye daladala au sehemu ya mkusanyiko.
Watu wengi sana simu zao naona zina App ya Jf, na wanafungua kisirisiri😂😂 wakiwa kwenye halaiki za watu🤣
We nae saa ingine wala hueleweki mpwaNimecheka hadi basi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
💯% ✅️Jf inatumika kama bange tu. Kila mtu hataki ajulikane.