min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Hiyo ya kutokuwa na tako kwa asili ya wakwetu inajulikana kabisa , nikija kusema humu itakua haina mashiko wakwetu🤣🤣Usije kurudi hapa ukaanza kuwaeleza wanaJF Makiwendo mwenyewe tako hana🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya kutokuwa na tako kwa asili ya wakwetu inajulikana kabisa , nikija kusema humu itakua haina mashiko wakwetu🤣🤣Usije kurudi hapa ukaanza kuwaeleza wanaJF Makiwendo mwenyewe tako hana🤣
Umeanza mashambulizi mapema sana wakwetu😅Hiyo ya kutokuwa na tako kwa asili ya wakwetu inajulikana kabisa , nikija kusema humu itakua haina mashiko wakwetu🤣🤣
FaizaFoxy huwa anapenda rosti, ila kama ni kitimoto ya ulimi huwa anapenda ulimi ule ukaushwe uwe kavu.Kavu au rosti?
Ussr naomba nikutafuteWapo wengi tu hawa kina Mbowe,zito,slaa , Kigwangalla,kitila na n.k na juzi nimekutana na Dk Gwajima
USSR
Mm huwaga sijifichi kufungua JF, nafungua kokote, ofisini, barabarani, Club, kanisani, Kweny Party kokote nafungua, ila cha kushangaza sijawahi ona mtu mwingine yoyote akitumia JF hadharani.Ya ghalfa nilishakutana na mdada mmoja tu ila yeye ndio alijua id yangu mimi aligoma nijue yake , akiona hii lazima ata like hapa🤣🤣🤣
Huu ni muda mzuri kujuana na watu kama Lucas Mwashambwa,Ussr,Comte,Magonjwa Mtambuka,Tlaatlaah hawa naomba wanikubalie niwatafute.Mbona unacheka tena 😁 , Toa ushuhuda wako tena wewe nahisi huwa unajificha ficha ukiwa unatumia 😄😄😄
Wa kwetu acha hizo tufanye tule kitimoto siku moja.Umeanza mashambulizi mapema sana wakwetu😅
Ungemwacha tu mkuu uone mwisho wake🤣Mm huwaga sijifichi kufungua JF, nafungua kokote, ofisini, barabarani, Club, kanisani, Kweny Party kokote nafungua, ila cha kushangaza sijawahi ona mtu mwingine yoyote akitumia JF hadharani.
Na kwa watu ninaojuana nao kila mtu anajua natumia JF, maana ukikaa na mm tukipiga story then story zikiisha, ntachukua simu ntaingia JF.
Kuna siku nilifungua JF kweny watu wengi sasa kuna jamaa akawa anaangalia sana simu yangu, yaan anatoa macho knoma anataka kujua kinachoendelea kweny screen, nikamsoma nikasema kimoyomoyo huyu ni familia na anataka kujua ID yangu, nikapunguza brightness hadi mwisho, nikaona kapuuzia.
Ngoja aje mkuu😅FaizaFoxy huwa anapenda rosti, ila kama ni kitimoto ya ulimi huwa anapenda ulimi ule ukaushwe uwe kavu.
Sema huwa hapendi kula hadharani, mara nyingi wanakuwaga na Malaria 2 pale mwananyamala kuna kapub fulani hivi kapo mafichoni wanasifika kwa kutengeneza kitimoto safi na tamu sana.
Kinywaji hawa watu hupendelea sana K vant
Qur'an:FaizaFoxy huwa anapenda rosti, ila kama ni kitimoto ya ulimi huwa anapenda ulimi ule ukaushwe uwe kavu.
Sema huwa hapendi kula hadharani, mara nyingi wanakuwaga na Malaria 2 pale mwananyamala kuna kapub fulani hivi kapo mafichoni wanasifika kwa kutengeneza kitimoto safi na tamu sana.
Kinywaji hawa watu hupendelea sana K vant
Utoto mwingi na ujinga pia ulichangia kuwaza kumfanyia ivo huyo pisi kaliKuna mada moja ililetwaga humu miaka kama 4 au 5 iliyopita
Kipindi hiko humu Jf kila mwanamke anajiita pisi
Jamaa akaomba mchezo na pisi moja pm, akakubaliwa, kumbe bwana ulikuwa mchongo.
Yule dada kafika lodge kumbe jamaa kategesha camera chumbani.
Yule dada hatakuja kusahau ile aibu halafu wote tulikuwa tunamuona bonge la demu na mkali balaa hapa jukwaani, kumbe hakuna kitu na ni aibu sana.
Pia kosa kubwa alilofanya yule dada ni kuchati kupitia Pm mpaka sura yake.
Jamaa aliscreenshot kisha akaja na uzi wenye naked video ya yule dada pamoja na picha zake.
Jamaa alikula life ban na ile Id ya yule dada last seen yake imesimama July 2019 mpaka leo.
Kwahiyo hizi ndizo sababu za wengi kukataa kufahamika
Fact bibiye, inasikitisha!Utoto mwingi na ujinga pia ulichangia kuwaza kumfanyia ivo huyo pisi kali
Hapana aisee, kuna watu tushawahi kutishiwa humu ndani, yaan unaandika tu vitu ila mtu anakufata PM kwa hasira, akijua ID yako je?Ungemwacha tu mkuu uone mwisho wake🤣
ni yeyeNilikutana na bwashee johnthebaptist nikamchukua na pic ya kumbukumbu View attachment 3168101