Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Kavu au rosti?
FaizaFoxy huwa anapenda rosti, ila kama ni kitimoto ya ulimi huwa anapenda ulimi ule ukaushwe uwe kavu.
Sema huwa hapendi kula hadharani, mara nyingi wanakuwaga na Malaria 2 pale mwananyamala kuna kapub fulani hivi kapo mafichoni wanasifika kwa kutengeneza kitimoto safi na tamu sana.
Kinywaji hawa watu hupendelea sana K vant
 
Ya ghalfa nilishakutana na mdada mmoja tu ila yeye ndio alijua id yangu mimi aligoma nijue yake , akiona hii lazima ata like hapa🤣🤣🤣
Mm huwaga sijifichi kufungua JF, nafungua kokote, ofisini, barabarani, Club, kanisani, Kweny Party kokote nafungua, ila cha kushangaza sijawahi ona mtu mwingine yoyote akitumia JF hadharani.

Na kwa watu ninaojuana nao kila mtu anajua natumia JF, maana ukikaa na mm tukipiga story then story zikiisha, ntachukua simu ntaingia JF.

Kuna siku nilifungua JF kweny watu wengi sasa kuna jamaa akawa anaangalia sana simu yangu, yaan anatoa macho knoma anataka kujua kinachoendelea kweny screen, nikamsoma nikasema kimoyomoyo huyu ni familia na anataka kujua ID yangu, nikapunguza brightness hadi mwisho, nikaona kapuuzia.
 
Ungemwacha tu mkuu uone mwisho wake🤣
 
Ngoja aje mkuu😅
 
Qur'an:
Allah anasisitiza juu ya umuhimu wa kuchunguza na kuwa makini na habari kabla ya kuamini. Surat Al-Hujurat (49:6) inasema:

"Enyi mliyoamini! Ikiwa mja miongoni mwenu ataletewa na habari, angalieni kwa makini, ili msije mkawadhulumu watu kwa ujinga na kisha mkafanya majuto kwa yale mliyoyatenda." (Qur'an, 49:6)

Aya hii inatufundisha kwamba ni muhimu kuchunguza na kuthibitisha taarifa kabla ya kuziamini, hasa ikiwa zinahusiana na watu au masuala nyeti.


2. Hadithi ya Mtume Muhammad (SAW):
Katika Hadithi, Mtume Muhammad (SAW) alielezea umuhimu wa kuchunguza habari na kuepuka kueneza taarifa zisizo za kweli. Hadithi inasema:

"Msipokee taarifa kutoka kwa kila mmoja, kwani ni tabia ya muongo kueneza habari zisizo na uhakika."
(Sunan Ibn Majah)

Hadithi hii inatufundisha kuwa tunapaswa kuchunguza vyanzo vya taarifa kabla ya kuzisambaza.
 
Utoto mwingi na ujinga pia ulichangia kuwaza kumfanyia ivo huyo pisi kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…