Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa JF katika maisha ya uhalisia (Jamii)?

Husiano Mungu anaendelea kulilinda HS....Tunasonga🤣( japo nimecheka sana)

Huo Uzi nitajaribu kuukumbuka..But ujue tu Comment zako nilizi'screen shot..Maana kilichoombewa Ushauri kwenye Ile mada hakikupishana sana na nilichokuwa napitia kipindi hicho..Na ushauri uliokuwa unatoa ilikuwa ni top notch ...Mungu amekubariki sana kwenye hilo HS..

Siku moja nitapita google photos huko nikuoneshe Reference za comments zako...unaweza usiamini...

Ubarikiwe tu...
#BringBackHS#.
To God be the Glory Maki. Em siku moja naomba upite huko Google photos unioneshe; possibly it will rekindle my gift...

Aisee huwa nikiliwaza hilo neno "husiano" huwa nacheka sana na kukukumbuka muasisi wake.
 
Nimejibishana sana na Mshua humu JF bila kujua mpaka siku aliyonipa simu yake nimfanyie settings za internet (baada ya kusajili line ya pili) ndo nikakuta app ya JF, nilipoifungua nikashtuka kukuta username ya Mshua ndo ile niliyokuwa nazinguana nayo mara kwa mara kwenye mambo ya siasa!!!
Mshua age imeenda kiasi ila yuko vizuri kiasi kwenye mambo ya teknolojia na jukwaa lake pendwa ni jukwaa la siasa hapa JF.
 
Mimi hapa najulikana jamani🙇
Katika list ya viongozi active ambao tuko nao humu Jf na wanajibu vyema hoja zao humu, Mh. Waziri Dkt. Gwajima D wewe unaongoza na unapeperusha vyema bendera yako ya uongozi.
Nakukubali sana 🫡🫡👏👏🤝🤝

Sema lalamiko langu kubwa humu ni kuhusu single mother.
Yaani humu ndani single mother tunaongoza kwa kusemwa, kunyanyapaliwa na kusengenywa mpaka tunajiona hatuna thamani.
Nalia mimi waziri ....😭😭😭 🤧🤧🤧
Wanaume wa humu JF sijui tumewakosea nini🥺🥺🥺

Mbona sie single mother tunaweza kulea ndoa zetu na kutimiza majukumu yetu vyema tu, sasa haya masimango yanatokea wapi? 🤧🤧🤧
Naishiwa pumzi waziri :BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh::BearLaugh:!!!
 
Nani huyo analeta ubaguzi na kuoa Nako hataki, haya niambie nimhoji kwanza? Au ni mwanamke kaamua kuwasema wanawake wenzake tena?😚
 
Hawa hapa mama 👇
Satirical Yet Awesome
Hammer11
Cruel conman
Robert Heriel Mtibeli
Mjanja M1
Hao hapo juu ni baadhi tu ya wanaume katika maelfu ya wanaume humu wanaotusakama sana sisi single mother mama 😭😭
Yaani mpaka tunahisi tuko utupu mbele ya jamii na Dunia kwa ujumla.

Kila siku nawaambia wanaume humu ndani kuwa, kuwa single mother sio kigezo cha kutofikia malengo chanya na wala si kigezo cha kutopata mwenza, kila binadamu ana haki zake za kimsingi na kisheria, kikatiba na kiutawala katika kuheshimu mipaka ya mahusiano au matabaka ya mahusiano.

Mama 🤧🤧 naomba uwaseme sana hawa watu humu ndani maana wengine hupeleka hiyo hulka katika mikutano au makongamano ili tu sie single mother tuonekane ni aina fulani ya jamii ya wanawake ambao hatuhitaji nafasi ya kupendwa tena.

Mama 🤧🤧 waambie kuwa single mother sio mwisho wa maisha na wala si kufeli kimaisha
Single mother wangapi wako vizuri kiuchumi, kimalezi, kielimu au nyanja zozote?
Wapo wengi tu.

Pia sambamba na hili si kila single mother alipenda kuwa hivi, kuna hali fulani ya mahusiano/ndoa hupelekea mwanamke kuwa single

Mama waziri Dkt. Gwajima D kuna baadhi ya wanawake huaminisha umma kuwa single mother hatupaswi kupata wenza. Wamesahau kuwa wao pia huenda walitokea kwenye malezi hayohayo ya mzazi mmoja.

Yangu ni hayo tu mama 🤧🤧🤧
Waseme wakusikie

NB:
Ukirudi ziara Sikonge usisahau kuniletea zawadi 🤗🤗🤗
 
Hawa hapa mama 👇
Satirical Yet Awesome
Hammer11
Cruel conman
Robert Heriel Mtibeli
Mjanja M1
Hao hapo juu ni baadhi tu ya wanaume katika maelfu ya wanaume humu wanaotusakama sana sisi single mother mama 😭😭
Yaani mpaka tunahisi tuko utupu mbele ya jamii na Dunia kwa ujumla.

Kila siku nawaambia wanaume humu ndani kuwa, kuwa single mother sio kigezo cha kutofikia malengo chanya na wala si kigezo cha kutopata mwenza, kila binadamu ana haki zake za kimsingi na kisheria, kikatiba na kiutawala katika kuheshimu mipaka ya mahusiano au matabaka ya mahusiano.

Mama 🤧🤧 naomba uwaseme sana hawa watu humu ndani maana wengine hupeleka hiyo hulka katika mikutano au makongamano ili tu sie single mother tuonekane ni aina fulani ya jamii ya wanawake ambao hatuhitaji nafasi ya kupendwa tena.

Mama 🤧🤧 waambie kuwa single mother sio mwisho wa maisha na wala si kufeli kimaisha
Single mother wangapi wako vizuri kiuchumi?

Pia sambamba na hili si kila single mother alipenda kuwa hivi, kuna hali fulani ya mahusiano/ndoa hupelekea mwanamke kuwa single

Mama waziri Dkt. Gwajima D kuna baadhi ya wanawake huaminisha umma kuwa single mother hatupaswi kupata wenza. Wamesahau kuwa wao pia huenda walitokea kwenye malezi hayohayo ya mzazi mmoja.

Yangu ni hayo tu mama 🤧🤧🤧
Waseme wakusikie

NB:
Ukirudi ziara Sikonge usisahau kuniletea zawadi 🤗🤗🤗

Kuna nini Mkuu?
Mbona kunitaja huku
 
Tunaziweka sawa fikra na mitazamo yenu kuhusu sisi single mother ambao mnatuona hatuna thamani wala stara mbele ya jamii

Wapi niliwahi sema single mother hawana stara Wala thamani kwenye jamii. Au kutokuolewa?

Ingawaje haiondoi ukweli, kuwa single mother haishauriwi Kuolewa na vijana fresh ambao hawakuwahi kuwa na familia au kuwa na watoto

Wewe utakubali mwanao wakiume kijana mdogo aliyemaliza Chuo amuoe single mother?
 
Tunarudi kulekule mkuu, unajitoa huku unajirudisha.
Anyway kila mtu na msimamo wake ila hizi mada mmezidi kuzileta sana humu
 
Hata usipokuwa single mother kama huna Kazi siku hizi wanaume hawana time na wewe. Ukiwa single mother ndio nafasi yako inazidi kuwa ngumu zaidi.

Mimi ninachojua single mother sio kilema, sio tatizo hasa kwa wanaume watu wazima lakini kwa vijana below 40 ni tatizo kubwa
 
Okay umeeleweka.
 
Back
Top Bottom