Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
-
- #181
Process ya kumuandaa ipoje nimeona mahali wale makubwa wa njano hivi asee ni tamla yuleHahahaaa!
Wanaokunya funza ni wale kobe jamii ya wadogo wadogo.
Wapo wale wakubwa wanafikia size ya kalai weusi hivi, hawa wapo safi kabisa kwa mlo!
Nakumbuka siku madogo wanamchangua yule kobe alikuwa jike so akawa na mayai kibao makubwa kwa madogo. Mi nikaanza nayo kwanza yale kwa kuyakaanga kisha nikala!
Najua inastaajabisha!
Ila ndo hivyo kuna wengine sie tumezoea adventure na kuexperience mambo ya ajabu ajabu basi tu yaani!
Wa aina Gani huyu mnyama?Kimolo
Hahahaha Daaah 😹Kunajamaa alituuzia nungunungu tukarosti pale mapande makubwa makubwa wakati tunaendelea kula tukaona ng'onyo bhana aisee kumbe jamaa alikaokota tuu kalikuwa kameshajifia kama siku 3 nyuma
Hahahaaa!Wale wananuka mbaya!
Mkuu usiache kitu. Kula kikubwa kipite tu!Process ya kumuandaa ipoje nimeona mahali wale makubwa wa njano hivi asee ni tamla yule
Uchicheme Fungo, chema "Pungo kwa nchele"Fungo
Nasikia Kobe Lina Maini(staki) tupuNiliwahi kuta wahuni wanakula kenge na kobe burdaani kabisa Nikifa MkeWangu Asiolewe
Pundamilia nimewala sana pale manyara nilikuwa nasoma na jamaa baba yake alikuwa askari wa wanyama pori. Nimekula wengi wengi sana na wengi sikujua hataushakula pundamlia iliyotandwa, my wetu akasome alafu itiwe sukuma na chinese na pilipili kwa mbali ni balaa.
kilichonishangaza kukuta watu wanakula kobe duh!
Usemacho ni kweli lakini haisadii Kwa sasa mkuu.du zamani dzm tuliwatania wale kule kusini wanaokula 'samaki nchanga' na ule mkoa ulojulikana kula mbwa... nilitahadhari kununua mishkaki mikoani humo nikisafiri ...
🤔sasa nahisi kula mishkaki safarini ni mtihani
manake, du sasa hii mada inaonesha hakuna mnyama ama mdudu asieliwa ... sijui tumeiga wachina ama kweli ni asili yetu???
ILA wanaJamii, tahadhari kuna wanyama wanaobeba magonjwa sugu yasiowadhuru ila yanatudhuru. Niliwahi soma kuhusu nguruwe kuwa na vidudu ambavo hata uchemshe nyama siku nzima havifi na vinaleta magonjwa hata saratani... tafiti kwanza kabla ya kubugia
Miiko ya kiasili na hata ya kidini ilikuwa na maana nzuri kiafya... tuache kulaumu dini. Ukila mnyama anaekula nyama mbichi ya mizoga ilozongwa na mainzi ... kweli unategemea nyama yake haitakuwa na madhara?
Hata haya makuku sijui yanaitwa chotara, paja kama mbuni .... sidhani ni bora kiafya kwa sababu yanakuzwa si kiasili bali kwa madawa
Kule niliko wapi wengi sana. Shida wananuka mbaya.Fungo
Lile jumba si litabomoka kipindi unamuandaa?Mkuu usiache kitu. Kula kikubwa kipite tu!
Wale wa njano ni kobe wa nchi kavu, wao wana nyama nyekundu kama digidigi tu.
Njinsi ya kumuandaa;
Chemsha maji 100°c kisha mtupie humo.
Unamlaza chali kisha unampasua jumba lake kwa panga kwenye zile kingo zake kati ya kiwiliwili na jumba.
Then ile surface ya chini unaichuna na kisu tu.
Utumbo na mazaga mengine ya ndani utawapa mbwa kushare upendo.
Baada ya hapo unambanika au kukaa.
Ukikuta ana mayai usitupe mkuu utakosa mambo mazuri!
Nyongeza;
Lile jumba la kobe usitupe, ni chombo mhimu na ni kinga ya kuku.
Likikauka vizuri uwe unaweka maji then kuku wawe wanakunywa kupitia mle.
Nakubali maana wachina na mbwa huwambii kitu hata kama uwe na mbuzi atachagua mbwa tuMbwa ni watamu sana hawana shida labda shida uwe nayo wewe 😅🤣😂
Daaah watu mmekula vitu na vituzi asee😹😹Pumbu za nguruwe zinakaharufu flani hivi halafu unakuta mtu anakwambia usitoe chochote..halafu kuna kile kisteki kipo jirani na dudu kinaitwa kunyamwino kinachumvi kabisa yaani ukikichoma huna haja ya kuongeza chumvi