Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
- Thread starter
- #161
Majina ndo ngumu wanayaita kikabila ya za huko na kushika jina ngumu nakumbuka Baazi TU kamaMatunda gani hayo mkuu
Makusu
Mihundu
Tobwa
Mdele
Nk
Majina ndo ngumu wanayaita kikabila ya za huko na kushika jina ngumu nakumbuka Baazi TU kamaMatunda gani hayo mkuu
Relax mkuu huu Uzi ni special Kwa wa poripori kama sisi huwezi elewa.Huu Uzi unaweza ukatapika
Nakubali mkuu makonde Wana mitego wanweza kunasa Hadi bindamu maana wanamitego huwezi kuuona Kwa macho Abadan ila yeye mtegaji TU. Nimeisha na mmakonde porini alikuwa akipotea kama masaa2-3 ana kuja na nyama kashamaliza na kuichoma anakula kauli yake ni Moja jamani anayetka kula aje tule...habari za mnyama Gani huyu hakuambi😹😹siku moja tukiwa chaka tulikua tumepigika ile mbaya alafu njaa ilikua inatuhuma vibaya mno. unga ulikuwepo wa kutosha tatizo ilikua ni mboga akuna. mwana mmoja kutoka umakondeni akasema yani tunapata shida ya bure wakati apo nyuma kwenye mkondo wa maji mboga ipo naiona kila siku. wote tukasema acha masiala mboga gani iyo mwana akasema si kuna kenge pale watu wote tukachoka. ni kweli kwenye huo mkondo kulikua kuna bonge moja la kenge ambalo ukiliona ata kama ni kwa bahati mbaya likiwa limejisahau lilikua linapotea chapu kama upepo mwana baada ya kuona wote atusomeki alinyanyuka na kwenda zake. uko alikokwenda sijui ata alitumia mbinu gani ila ata aikuchukua mda sana tulimuona yule mwana akirudi akiwa kambeba yule kenge mkononi. wala akuongea na mtu alimuandaa yule kenge kisha akakata kata stek stek za kutosha na kuwasha moto kisha kubanika punde tu tukahanza kushuhudia mafuta mafuta kwa mbali kutoka kwenye nyama ya kenge. mwana akasonga ugali wa kutosha na kutamka kauli moja tu anaeitaji kula aje
Sisi hii ni mara nyingi TU haihesabiki hata wiki hii tunaenda kuhasi Kwa mfugaji ameniomba nikamfanyie hivyo na sharti nibebe au nile hapohapo matamu sana full stekiNiliwahi kuzila nikiwa India (pumbu za mbuzi) ni tamu sana.
Wenyewe wanaita KALEJI.
Huwa zinauzwa mitaani kama mishikaki.
Wale panzi sio tondogoso kweli?Kuna hii nyingine sijui ni uroho au kutaka kuingia kwenye kitabu cha guiness!
Wajita wanakula wadudu flani wadogo wadogo jamii ya mbu. Wenyewe wanaita masami.
Ukamataji wake ni kipengele. Wanachukua kalai wanalilowanisha maji kisha wanaanza kupunga hewani kipindi hao wadudu wanapaa!
Na kuna kabila moja wanaitwa Wanguu-Wajumbi, wao wanakula wadudu flani jamii ya "dudu washa" ila shariti wapatikane kwenye miti ya mikarati.
Funga kazi ni Waluguru, wao hula panzi flani wazubaifu/mazoba wanaitwa ngeda au mbulumundu. Wanakuwa wa kijani. Hupatikana kwa wingi kipindi cha masika wanapenda kutembea kundi au wawili wawili. Hawawezi kupaa na mara zote utawakuta njiani wamezubaa.
Usukumani wanaitwa "kafula"
Wamakonde salute kwenu. Mnakula konokono wale wenye utelezi. Wenyewe hujisifia eti wana nyama nzuri kama firigisi ya kuku!
Mwamba relax kila binadamu ana harufu Wala lisikupe shida Hilo.Utakuwa na harufu ya mwili ya asili mbaya sana. Unakula vitu vya ajabu
Nilionja mwaka jana.Nungunungu ni habari nyingine,niliwahi kula sehemu mmoja kitambo sana kunaitwa Uvinza...
Huku kiangazi hiki wanaliwa vizuri TU hawana baya kabisa.Yule ndezi hana tofauti na panya kimuonekano. Ndiyo maana Kizungu anaitwa cane rat, au cane cutter. Africa magharibi wanafunga na kuuza.
Nyama yake tamu sana. Nimekuja kumla Mara ya kwanza mkoa wa Pwani miaka miwili iliyopita.
😀 Yana uma sana likikun'gata MATINIHahaha...
Kama umewahi kuona makao ya siafu, na matini hua na nyumba za aina hiyo mkuu...
Matini hupatikana kwa kutwanga ile nyumba na mchi...
Ukipata shimo unaweka majani ya mti(mala nyingi mzima) matini yanang'ata na hutolewa kwa njia hiyo...
Nimejifunza kaka 😊Fungo ni mnyama mkubwa kama mbwa ila ni mtata mbwa hawagusi pale.
Ana madoa doa na mara nyingi mawindo yake hufanya usiku.
Anakula matunda jamii ya ngobe(koloto), wadudu jamii ya kumbikumbi n.k
Ana tabia ya ajabu sana make kawaida yake haja kubwa hujisaidia sehemu moja tu!
Mathalani kaenda mawindoni mbagala ikatokea kabanwa na haja kubwa, anacho fanya ni kujaza majani matak.oni then anaendelea na kusaka msosi mpaka atakapo rudi sehemu yake maalum ndo anashusha kimba hata kama ni mbali let say tegeta huko!
Kwa tabia yake hii ya kubana inyaa hupelekea kutoa harufu kali muda wote kiasi kwamba mbwa akimsogelea karibu huvurugwa na kukarahishwa na ile harufu kiasi cha kutoka nduki au ampishe njia aendelee na misele yake.
Liking'ata lazima uone damu😀 Yana uma sana likikun'gata MATINI
Hahahaaa!Kobe wa majini anakunya funza kabisa mkuu mliwezaje
Ewaaa! Swadakta wanaitwa tondogoso huko usukumani!Wale panzi sio tondogoso kweli?
Fungo asee ananuka sio poa
Wale wananuka mbaya!Ewaaa! Swadakta wanaitwa tondogoso huko usukumani!
Sasa mkuu imagine mtu anakula yale makitu!
Na unaambiwa uandaaji wake unatakiwa upasue kifua utoe kuna utando flani wa majimaji ni sumu na mchungu balaa!
Usipo utoa utahara hadi utumbo utoke nje!