Je, umewahi kula mnyama ama wadudu gani Hadi ukajisemea nilikuwa wapi siku zote hizo? Nimekula wanyama wengi sana.

Lile jumba si litabomoka kipindi unamuandaa?
Sio rahisi kulibomoa mkuu. Material yake ni ngumu mno!
Halafu kinachofanyika ni kwamba unatenganisha na kiwiliwili kwa kufuata maungio ya jumba na tumbo/sehemu ya chini ya huyo kobe.

Kombe ndiye kiumbe mwenye uwezo wa kuishi duniani hata karne mbili.
Jitahidi siku ukimpata, usiache kula moyo wake. Huwezi jua yawezekana ukatoboa walau ka karne kamoja unadunda tu hapa duniani!
 
Subiri ataliwa tu
 
Mnyamq yoyote ambaye kiasili anakula hadi nyama siyo sahihi kumla ...na zaidi anaye kula nyama ya binadamu...kama chui simba fisi mbwa mwitu mamba ,papa, nk.
 
Kumbe wewe ni mtu wa kuchanganya konyagi na Serengeti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…